englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
haahaha na ndio maana nikasema hata nikipewa hela sipandi.What if left side wanakaa mabonge aina yangu huku right wakaket vimbau mbau aina ya mzee wa kulog off? Na hiyo roof factor ya upepo imezingatiwa?
haahaha na ndio maana nikasema hata nikipewa hela sipandi.
Nalog off
natamani niwe dereva wakona ulivyo bonge lazima upande mmoja ushuke....
natamani niwe dereva wako
umenishusha cheo basi Washawasha awe dereva tu na siwezi kuwa abiria nimeahirisha sisafirimi dereva wa Washawasha, wewe utakua abiria,kulia wewe(58kg) na kushoto yeye(116 kg) hahahaa
hahahaha na ndio safari yenyewe inaishia hapo hapo.na ulivyo bonge lazima upande mmoja ushuke....
umenishusha cheo basi Washawasha awe dereva tu na siwezi kuwa abiria nimeahirisha sisafiri
Halafu wala hutomtoza nauli 24hrs.mi dereva wa Washawasha, wewe utakua abiria,kulia wewe(58kg) na kushoto yeye(116 kg) hahahaa
Safiri ndugu yangu ukichelewa nauli zitapanda mwisho wa mwaka huu!umenishusha cheo basi Washawasha awe dereva tu na siwezi kuwa abiria nimeahirisha sisafiri
zipande tu nimeghairiSafiri ndugu yangu ukichelewa nauli zitapanda mwisho wa mwaka huu!
Nalog off
Haya kaka.zipande tu nimeghairi