wakundi sana kindo kilya aise
namanya kindo owamba loi?
machaleee kudesa mae...gastuka,ndo wale wale baba afaa na presha
sinyie ndo mlitupa jina..etiii wapareniiiiiiiiiiii wapareni hahahah chaga banaaa,we palestina au marangu wanao ringaa
hahah wale wa marangu mtoni,kilema...kisambio0 hahaha umenikumbusha kwa mama mrema au godilizeniiiii..eeeh mkuuhaaa halafu mbaya zaidi hadi lugha mlikimbia nayo,
unajua kule kwetu tupo smart ile mbaya
hata kama huna shilingi lakini lazima kwenye mfuko wa sharti
pawe na kalamu zaidi ya tatu, chezea marangu weye B'REAL
siamini kweli hakuna vapare humu theeeeeeeeee...haya valeeee vya thame,vudee,gonja,mbaga, mamba miamba,uthangi,ugweno,chekereni
hahah wale wa marangu mtoni,kilema...kisambio0 hahaha umenikumbusha kwa mama mrema au godilizeniiiii..eeeh mkuu
Wapare wa kiume kwa gubu balaaa
hivi kumbe wanaume wa kipare wana gumbu...embu niangalie