Ni tanzania tu inawezekana haya

Ni tanzania tu inawezekana haya

Zjilala

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2013
Posts
427
Reaction score
418
Maajabu ya nchi hii. Tunashukuru barabara imekamilika
IMG-20211206-WA0051.jpg
 
Hapa wanatafuta njia za kutupiga
 
Hata kama ndio km 4 kwa bilioni 71 kweli?
na si tuliambiwa kuwa pesa za sikukuu zimejenga, sasa kama ni wajapan walijenga zile za sikukuu zilienda wapi? hii sukuma gang mama anatakiwa aisasambue yote asibaki hata mmoja.
 
Hata kama ndio km 4 kwa bilioni 71 kweli?
Labda inatokana na ubora. Kuna mkeka ilikuwa unapigwa kutoka daraja la kigamboni kwenda kule ferry . Aisee lilichimbww shimo kubwa ambapo Ndio barabara itapita , halafu yakamwagwa mawe Hadi juu? Sasa kwa Dar unadhani mawe yanapatikana wapi? Kwa hiyo gharama nadhani inategemeana na ubora wa barabara.
 
na si tuliambiwa kuwa pesa za sikukuu zimejenga, sasa kama ni wajapan walijenga zile za sikukuu zilienda wapi? hii sukuma gang mama anatakiwa aisasambue yote asibaki hata mmoja.

Alikuwa na mapungufu yake, ila msijitoe ufahamu kwa mazuri yake pia. Kwa mtu yeyote wa Dar anayetumia njia hio hawezi kuhoji ulilohoji. Hio ni miradi miwili na imetekelezwa kila mmoja kwa wakati wake!.
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
Alikuwa na mapungufu yake, ila msijitoe ufahamu kwa mazuri yake pia. Kwa mtu yeyote wa Dar anayetumia njia hio hawezi kuhoji ulilohoji. Hio ni miradi miwili na imetekelezwa kila mmoja kwa wakati wake!.
Sasa huoni pesa za sherehe zilitumika hovyo? Maana hiyo barabara hata haikukaa sana imejengwa upya
 
Back
Top Bottom