Ni Tanganyika tu !

kwani kubeba mbunzi ndio tanganyika tu wazungu mbona wanabeba mbwa na kuwapiga mabusu motomoto mbwa?? aak waache wajinafasi.
 
Picha ya Mbuzi kwa hisani ya Issa Michuzi,na ingine courtesy to This DAY!Msije mkafikiri ni pengine Afrika!
 
Watz tuache inferiority complex! Tusidhani kila afanyalo mzungu ni zuri na la kwetu baya! Mzungu kama angembeba mbuzi na kupakia watoto kwenye toroli sidhani kama angelaumiwa! Oh, God liberate our minds and let us come to our original senses!
 
Mkuu sisi ndio hata ni ma katalyst wa kuchochea watu wawe mafisadi.Naamini kabisa kama Tanzania hasa Dar es salaam kungekuwa na baiskeli nyingi kama njia ya usafili kama ilivyo Stockhom(sweden) na Amstedam(Holland) basi tungesema mno tena mno.
 
Sipati point yako!Huwezi kupata mtu Amsterdam amepakia Mbuzi namna hiyo,though baiskeli ni nyingi!
 
Kwanza hao watoto wana furaha na wako salama. Plus ingine kiuchumi ni kwamba mkokoteni ni made in TG na kwa mundeshaji ni kwamba ana ajira.

Huko kwingine maisha ni haya haya.. kwanza ni leo hii hii nimemuona mama wa kizungu anayeishi ''dunia ya kwanza'' amebeba watoto watatu kwenye baiskeli.
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...
 
Mshahara wa Mbunge wa Temeke kwa mwezi,unaweza kusaidia watoto hao Mbagala!
Lakini nobody cares,wanadamu always care na manyani hawajali.
 
Hehehehe...hivyo ndivyo watu ma genius wanavyoishi!!

Mkuu hii ya kubeba kitoweo mgongoni is too much. Afu ndugu yangu companero atasema huo ni ubunifu.
 
Mkuu hii ya kubeba kitoweo mgongoni is too much. Afu ndugu yangu companero atasema huo ni ubunifu.

Oh yeah...tena wala usishangae akiibuka na nadharia inayoelezea kubeba mbuzi mgongoni...Lol
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...

Wacheni uongo,
Hao ni wanafunzi wangu hapa Sikonge. Tatizo ni kuwa mwalimu wa Kiswahili alipelekwa kusimamia mtihani wa hesabu. Wanafunzi walipofika swali la 20 mwalimu aliwatoa wote nje ili wakafanye swali hilo maana lilikuwa limeandikwa "WITHOUT USING TABLE, SOLVE THIS QUESTION..". Hapa ikimaanishwa mathematical Table.
 
jee wewe unae jike au dume huyo mbwa kwani sio wazungu wote wanawafanya pet wengine ndio hivyo
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...

Asante mkuu Mwanamasala,
hii inazidi kunipa hasira tu maana inanikumbusha nilipokuwa nyakati hizo madawati machache wanatakiwa kukalia darasa la saba tu. Nachukia zaidi kuona ni miaka 20 iliyopita alafu bado hali ni ileile na unasikia watu huko mikoani eti wamemchangia Kikwete milioni moja ya kuchukulia fomu ya kuomba kugombea tena, ama kweli ujinga ni ghali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…