Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,166 Mar 17, 2012 #21 recunited said: lol haha Click to expand... tabia mbaya hiyo
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 Mar 17, 2012 #22 Ni tabia mbaya kuwa na jina la kike
DAWA YA SIKIO JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 978 Reaction score 184 Mar 17, 2012 #23 >Ni tabia mbaya kuongea jambo serious huku ukijichekelesha. >Ni tabia mbaya kuingia kwenye sebule ya watu na kukanyaga kapeti na miviatu yako yenye matope.
>Ni tabia mbaya kuongea jambo serious huku ukijichekelesha. >Ni tabia mbaya kuingia kwenye sebule ya watu na kukanyaga kapeti na miviatu yako yenye matope.
mtamanyali JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,161 Reaction score 616 Mar 17, 2012 #25 ni tabia mbaya kumuua JKN
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Mar 17, 2012 Thread starter #26 Nitabia mbaya sana
S SI unit JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,953 Reaction score 767 Mar 17, 2012 #27 Ni tabia mbaya kuwa na multiple ID's humu jamvini, wasipokoment thread zako unatumia ID nyingine kujikoment mwenyewe! Lol
Ni tabia mbaya kuwa na multiple ID's humu jamvini, wasipokoment thread zako unatumia ID nyingine kujikoment mwenyewe! Lol
M Mashroud Member Joined Mar 6, 2012 Posts 71 Reaction score 5 Mar 17, 2012 #28 Ni tabia mbaya kutofuata yaliyoandikwa hapo juu.
MNYISANZU JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 7,046 Reaction score 1,105 Mar 17, 2012 #29 Ni tabia mbaya kumtongoza demu wa rafiki yako
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 Mar 17, 2012 #30 ni tabia mbaya kuandika ujinga huu.
S Senetor ulambo Member Joined Feb 23, 2012 Posts 15 Reaction score 1 Mar 17, 2012 #31 Ni tabia mbaya kuangalia picha za ngono
mchemsho JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 3,230 Reaction score 935 Mar 17, 2012 #32 Ni tabia mbaya kuamini kuwa wenye mafweza ndo wanatoka na mademu wakareee
mchemsho JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 3,230 Reaction score 935 Mar 17, 2012 #33 Senetor ulambo said: Ni tabia mbaya kuangalia picha za ngono Click to expand... ulijuaje kama kuna picha za ngono
Senetor ulambo said: Ni tabia mbaya kuangalia picha za ngono Click to expand... ulijuaje kama kuna picha za ngono
fanson JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 255 Reaction score 154 Mar 17, 2012 #34 Ni tabia mbaya kukaribishwa kwa watu na kujifanya unajua kila kitu.
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,140 Reaction score 6,356 Mar 17, 2012 #35 ni tabia mbaya kupga mluzi chooni, ni tabia mbaya kuvaa dera barabarani ni tabia mbaya kugombania shuttle za bibo
ni tabia mbaya kupga mluzi chooni, ni tabia mbaya kuvaa dera barabarani ni tabia mbaya kugombania shuttle za bibo
Fasouls JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 937 Reaction score 321 Mar 17, 2012 #36 ni tabia mbaya kwa wanafunzi wa udsm kuandka k.u.m.a ni tamu chooni
ZeMangi JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 436 Reaction score 33 Mar 17, 2012 #37 Ni tabia mbaya.....aaagh! Nimexahau mazee.
Nish JF-Expert Member Joined Jul 22, 2011 Posts 730 Reaction score 114 Mar 17, 2012 #38 ZeMangi said: Ni tabia mbaya.....aaagh! Nimexahau mazee. Click to expand... Ni tabia mbaya sana
J JULIUS MBIAJI Member Joined Dec 13, 2011 Posts 76 Reaction score 11 Mar 18, 2012 #39 Ni tabia mbaya kushabikia magamba halafu unadai maisha ni magumu.
Lord K JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 213 Reaction score 37 Mar 18, 2012 #40 Ni tabia mbaya kujisaidia bila kuflash choo!