PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
Mkuu T.2015.COM umewashika pabaya usitegeme jibu hapo!
Mkuu T.2015.COM umewashika pabaya usitegeme jibu hapo!
walisha ipata hii kuwa ni moja ya silaha za kumuangamiza,kadi ndo inatengenezwa,wape siku mbili tu watakupa jibu, sio leo
Nimependa maswali yako, ni ubunifu wa maswali.Mpaka sasa hatuna uhakika kama wewe sioi ni mtanzania au la.
naomba unijibu kwa ufasaha maswali haya machache tu.
Je,mejiandikisha kupiga kura?
Kadi ya kupigia kura unayo?
Ni kadi namba ngapi?
Kama ndio umejiandikishia wapi?
naomba majibu ili tuamini japo kidogo kuwa wewe ni mmeru mkazi na isije kuwa unaomba watu wakupigie kura wakati wewe mwenyewe huna haki ya kujìpigia wala kupiga kura
nawasilisha.
mkuu huku bongo mitandao hailipi kwani hata wachangiaji wengi wa JF hawapo nchini. I,m among of them. ingekuwa US hilo swali lako lingematter. kwa hiyo hayo nenda tu kawaambie wanaArumeru face to face.Mpaka sasa hatuna uhakika kama wewe sioi ni mtanzania au la.
naomba unijibu kwa ufasaha maswali haya machache tu.
Je,mejiandikisha kupiga kura?
Kadi ya kupigia kura unayo?
Ni kadi namba ngapi?
Kama ndio umejiandikishia wapi?
naomba majibu ili tuamini japo kidogo kuwa wewe ni mmeru mkazi na isije kuwa unaomba watu wakupigie kura wakati wewe mwenyewe huna haki ya kujìpigia wala kupiga kura
nawasilisha.
mkuu huku bongo mitandao hailipi kwani hata wachangiaji wengi wa JF hawapo nchini. I,m among of them. ingekuwa US hilo swali lako lingematter. kwa hiyo hayo nenda tu kawaambie wanaArumeru face to face.
Kama hana hastahili kuchaguliwa.
1. NDIYOMpaka sasa hatuna uhakika kama wewe sioi ni mtanzania au la.
naomba unijibu kwa ufasaha maswali haya machache tu.
Je,mejiandikisha kupiga kura?
Kadi ya kupigia kura unayo?
Ni kadi namba ngapi?
Kama ndio umejiandikishia wapi?
naomba majibu ili tuamini japo kidogo kuwa wewe ni mmeru mkazi na isije kuwa unaomba watu wakupigie kura wakati wewe mwenyewe huna haki ya kujìpigia wala kupiga kura
nawasilisha.
inabidi tumchunge siku ya kupiga kura wakala wetu wa cdm ahakikishe kama atakuwepo kwenye daftari la kudumu
1. NDIYO
2. NDIYO
3. 0897464
4. THIKA KENYA
Je unalo swali jingine?