Ni kastori tu Dr sasa sijui ni ka ukweli au ka uongo...
Kuna dada huyo alipendana na jamaa fulani, ila inaonesha huyo dada alikufa na kuoza kwa huyo kijana...
Bi mkubwa alipewa mimba nyingi tu akawa anashusha injini, baadaye akaliwa sana ule mtandao pendwa na huyo bazazi...
Kumbe huyo kijana alikuwa mpita njia tu, mwisho wa siku akamwacha solemba huyo bi mkubwa...
Baada ya muda bi dada akaolewa na mwanaume mwingine lakini chaneli zikawa hazikamati si ITV wala TBC...
Kwenda kwa Dr
Preta na Dr
watu8 (hapa nimechomekea), akaambiwa injini alizoshusha ni nyingi sana hivyo hawezi tena kupata watoto, pia kwa kuwa kafumuliwa sana marinda hata chaneli zingekuwa zinakamata basi asingeweza kujifungua kirahisi...
Bi mkubwa baada ya kuambiwa hayo akaona hakuna tena furaha ya maisha, akaandika waraka huu kwenda kwa mdogo wake ili ausambaze kwa walimwengu...
Nadhani hivi ninavyoandika Izraeli atakuwa ashamrestisha mahali pema peponi...