Ni software gani nzuri ya muziki kwa shughuli za sherehe/disco?

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Wadau kuna mdogo wangu anaendesha shughuli za kukodisha music katika harusi, disco, mikutano nk, katika kukabiliana na washindani wake ilibidi tutafute pc ili kuboresha na kuvutia zaidi wateja, si mnajua tena mambo ya mikoani.

Kwamuda sasa anatumia windows media player na software moja imenitoka kidogo ila ya kizamani na kichovu, ufanisi unakuwa sio mzuri sana

Naomba mwenye kuzijua software nzuri kwa shughuli hii anitajie jina, kama zipo za kudownload free nikipata link itakuwa powa zaidi,
kama za kununua basi nikijua jina nitazama kwa waungwana wa kushare yaani torrents.

NAWASILISHA
 
vdj7.jpg

Download VDJ Here!
Download Virtual_DJ_Pro_7.0.3_-_Cracked_&_Working_(+Skins).rar for free on Filesonic.com
 
Last edited by a moderator:
Wadau nashukuru sana kwa mchango wenu, nimeisha ipakuwa tayari virtual DJ pro 7 kutoka thepiratebay baada ya link ya aliyotoa Uncle rukus ya Filesonic kunizingua.
Nimeipenda imekaa njema na simple kutumia, inahitaji mazoezi kidogo na maelezo kidogo tu.
Mkuu ndegeulaya ilikuwa ni typing error tu jina sahihi ni Virtual Dj Pro 7.

mwenyekujua nyingine itakuwa powa nikipata kama tatu hivi
 
Wadau kuna mdogo wangu anaendesha shughuli za kukodisha music katika harusi, disco, mikutano nk, katika kukabiliana na washindani wake ilibidi tutafute pc ili kuboresha na kuvutia zaidi wateja, si mnajua tena mambo ya mikoani.

Kwamuda sasa anatumia windows media player na software moja imenitoka kidogo ila ya kizamani na kichovu, ufanisi unakuwa sio mzuri sana

Naomba mwenye kuzijua software nzuri kwa shughuli hii anitajie jina, kama zipo za kudownload free nikipata link itakuwa powa zaidi,
kama za kununua basi nikijua jina nitazama kwa waungwana wa kushare yaani torrents.

NAWASILISHA

sema upo mkoa gani.mimi pia nipo huko huko mikoa ya tanganyika.naweza kukusaidia nina BPM
 
Back
Top Bottom