Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,418
sory ni Nokia n86 sio n80Chief mkwawa bora umekuja heb niambie hapo
Ongeza kidogo bajeti yako ifike 195k ili ukachukua HUAWEI ASCEND Y300 kwenye maduka ya tigo. Ili kuifahamu zaidi hii simu iangalie hapa: www.gsmarena.com
Usimahauri mtu kununua blackberry 9000 siku nyingine... kile ni kimeo cha hali ya juu, 128MB RAM, 2MP camera, 648MHz processor afanyie nini? hiyo hata video ya 480p inakwama...Ni kweli mkuu ila blackberry nyingi tena nyingi zote ziko poa maeneo hayo wala huitaji kudowload ujinga mwngne kuweka mbwembwe, kwaa ushauri tu kuanzia model za 9000 naa kuendelea
xperia x10i,.ina 8mpxHabari zenu wana Jf.. ni simu ipi ya bei rahisi kama Tsh150,000/= yenye camera nzuri ( uwezo wa kutoa picha safi na nzuri) asanteni
Ndugu kwenye picha na music hakuna simu inayopita blackberry
2MP kiwango kizuri? Nadhani ni utani huu!
Usimahauri mtu kununua blackberry 9000 siku nyingine... kile ni kimeo cha hali ya juu, 128MB RAM, 2MP camera, 648MHz processor afanyie nini? hiyo hata video ya 480p inakwama...
Sitanii!! Mwaka 2008 hadi 2011 nilikuwa natumia Nokia 6270, ina 2 MP lakini Quality ya picha zake huwez hata kuzifananisha na picha za Tecno P3 ambayo pia natumia kwa sasa na ina 3 MP! Niliweza hata ku attach picha zake kwenye Projects mbalimbali na zilikubalika!