Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,304
- 14,918
Mtu Kaz yako kuangua Nazi unajifanya mtabiri
Haya njoo utetee tathnifu yako nawe uutwae udaktari wako

Akirudi kukujibu unitag, Makolo akili zao anazijua Rage, mtu amezoea kubet ndio analeta mambo yake ya kubet ukuMtu Kaz yako kuangua Nazi unajifanya mtabiri
Haya njoo utetee tathnifu yako nawe uutwae udaktari wako
Huu utabiri ulizingatia viwango vya tbs kweli?Simba atashinda 2 - 1, Yanga atapoteza nyumbani.
Tp mazembe 3 - Yanga 0.
Lakini Yanga itatakiwa ajifunze kutumia faida ya uwanja wa nyumbani.
Akija atasema yeye utabiri wake huwa ni vice versa.Mtu Kaz yako kuangua Nazi unajifanya mtabiri
Haya njoo utetee tathnifu yako nawe uutwae udaktari wako
Akirudi nishtue.mtoa mada uliahidi kurudi baada ya mechi mbili kuisha vipi sasa?
Hahaa Simba katuangusha sana.Huu utabiri ulizingatia viwango vya tbs kweli?
Sawa ndugu mtabiriHaya acha tuanze na Simba sc leo
Sawa mtabiriSimba atashinda 2 - 1, Yanga atapoteza nyumbani.
Tp mazembe 3 - Yanga 0.
Lakini Yanga itatakiwa ajifunze kutumia faida ya uwanja wa nyumbani.
Kuelekea mechi za kimataifa za CAF champions League ambapo Simba atawakaribisha Raja Casablanca na ile ya Confederation Cup ambayo Yanga atakuwa mwenyeji kuwaalika TP Mazembe ni wazi hizo mechi mbili zitaisha kwa ushindi kwa Simba Sc na Tp Mazembe.
TP Mazembe wana nafasi kubwa ya kushinda 2 bila ama 2 kwa 1 huku Simba pia akiwa na nafasi kubwa kupata matokeo kama hayo ama kushinda 1 bila.
Sababu za utabiri huu nitazitoa baada ya mechi zote 2 kukamilika.