Ni Simba koko FC au Panya SC?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,830
4,726
Matokeo ya club ya watani zetu yanafanya niamini kuwa wanastahili moja kati ya majina haya
1. Simba KOKO Sc
2. Panya Sc
Kwa takriban nusu muongo sasa wameshindwa kabisa kufurukuta.... Wamebaki kutapatapa tu..

Moderator usifute.... Rejea kanuni za utani wa jadi.
6afd73182f5e6fcc1dc56a17dfd9c665.jpg
 
Matokeo ya club ya watani zetu yanafanya niamini kuwa wanastahili moja kati ya majina haya
1. Simba KOKO Sc
2. Panya Sc
Kwa takriban nusu muongo sasa wameshindwa kabisa kufurukuta.... Wamebaki kutapatapa tu..

Moderator usifute.... Rejea kanuni za utani wa jadi.
6afd73182f5e6fcc1dc56a17dfd9c665.jpg
3. Kwa kuongezea tu nadhani la NYUMBU FC litawafaa zaid.
 
Hii timu wampe mtu anayeeleweka kama Dewji ainvest! Hizi habari za wanachama, na wazee zitawapandisha presha. Teh! Naona Julio kafurahi sana leo.
 
wakimpa MO, Hans Pope atahujumu, wakimpa Rage; Friends watahujumu, wakimpa Wambura Rage atahujumu...................its a cycle of sabotage
Akipewa Dalali ni sawa na kuwapa Friends. Apewe Msaga Sumu!
 
sioni haja ya wamatopenia kua mtani wajadi .......ameshapotea hakuna upinzani tena dimbani
 
WAKATI YANGA WANATESA NA COMBINATION HATARI YA MTN (MSUVA,TAMBWE,NGOMA)NA HADI KUFIKIA KUIFANANISHA NA ILE YA MSN BARCELONA KUNA TIMU NAYO HAIKUBAKI NYUMA INA COMBINATION YAKE INAITWA (MIMBA)
M - MAJAVI
I - ISIHAKA
M - MKUDE
B - BANDA
A - AJIB

Utani mwingine sio mzuri
 
Wachezaji wa kulipwa hawasafiri na timu kisa wanatuma pesa kwa wake zao??? Kweli hii ndo simba ya snura
 
Back
Top Bottom