Ni sawa Mwanaume kujipaka lipbum?

Hivi kuna dry lotions kweli?!

Ohh zipo mkuu, huwa zina level ndogo sana ya mafuta hivyo ukipata mwilini hazileti mng'ao sana. Wadada wanajua lotions for oily skin vs for dry skin!!! Sasa wanaume nafikiri hizi za oil skin ambazo huwa hazina mafuta sana ndiyo zinawafaa. Anyway, binafsi sikumbuki nilipata mwili au ngozi yangu mafuta lini but occasionally natumia lotion wife ananinunulia maana anajua for men.
 
 
Na huu upepo....acha kujipaka uone lips zinavokuwa kama kisigino
mi sioni shida ila zisiwe za rangi kama wanazopaka kina ommy dimpoz na wabana pua wenzie

Niliwahi kusikia bbc swahili wanasema hizo lip balm zinatengenezwa kwa kutumia magovi yanayotokana na mtu baada ya tohara...ngoja ni-google nikuletee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…