Na huu upepo....acha kujipaka uone lips zinavokuwa kama kisigino
mi sioni shida ila zisiwe za rangi kama wanazopaka kina ommy dimpoz na wabana pua wenzie
Ndio nini hizo...lipbum
Ndugu wanaJF,
Kuna baadhi ya vitu huwa vinatumiwa tu na wanawake, lakini pia vipo vinavyotumiwa na wanaume tu, japo vipo ambavyo twaweza kutumia pamoja. Sitaki kuzungumzia perfume maana nahc kutakuwa na ubishi sana. Unakuta perfume imeandikwa 'for women' lakini mwanaume kajipulizia nyingi, vitu kama simu kutegemeana na rangi twaweza kutumia wote.
Hoja yangu ni matumizi ya LIPBUM kwa wanaume. Mimi huwa nikienda salon nikipakwa najihc kama njiani nasemwa kwasababu sijui. Naomba tusaidiene hapa hasa wale wanaotupaka au wanaotengeneza au wauzaji.
Mkuu hata Dar kuna watu wanahitajika kutumia sababu ngozi na especially lips tunatofautiana sana kweli hali ya hewa ni moja ya sababu lakini pia wapo watu wana scally dry lips! !!kwa nchi za baridi hata wanaume wanatumia hio kwa sababu midomo inakauka hadi inapasuka,usipotumia hio utapasuka midomo hadi inatoa damu. ila kwa hapa dar tuwaachie dada/mama zetu.
Lip bum ndo nini?
Ndio nini hizo...lipbum
Mafuta ya kupaka kwenye lips....Lip bum ndo nini?
Napita tuu
Wanaume njoon mseme kama mnatumia lip bum
Lip bum ndo nini?
Huyo mtangazaji ni wa jinsia gani mamy?mie jana tu nimeona mtangazaji wa television moja hapa tz kapaka lipstic ya pink imemkolea kweli kweli sa sijui ndo fashion
Mafuta ya kupaka kwenye lips....
Za wapi sasa....maana vivyo vitube vingine vimefanana na......