bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 806
- 2,576
Naombeni kujuzwa nini maana ya "mtukufu"
Na mkinipa maana vile vile naombeni mnijuze ni sawa kumwita Bwanayule mtukufu?
Anautendea haki utukufu?
Na mkinipa maana vile vile naombeni mnijuze ni sawa kumwita Bwanayule mtukufu?
Anautendea haki utukufu?