Huyu Mzee anaonekana alipenda sana Gari za Mgongo wa Chura enzi zake... Kama Baba yangu alikuwa nazo Tatu Model zote dah... nilikuwa nachukia sana... Gari hazina uhakika wa Safari.... spana unatembea nazo...

MKUU sio kweli bana hizi gari niuhakika sana na kiukweli hizi ndio gari amabazo wabongo tulitakiwa kuzitumia hizi zinafaa sana kwamasikini coz ni full uhakika miaka 100 unaweza ukatumia hata 10 yrs bila kubadili shock up sijui bol joint natakataka yoyote ile sio kama hawa Toyota miezi 6 lazima uwaungishe spea