Ni sanaa tu

You can do it

Sina uhakika,inawezekana ndani ya ubongo wangu kuna kitu kikubwa zaidi ya hiko,ila kutokana labda na uoga wangu ama kushindwa kujiamini ndio maana nashindwa kukivumbua kitu kilichopo humo.
Kila mtu ana uwezo wake wa kufanya maajabu,isipokuwa hatujajitambua tunaweza kitu gani..

"Nlikuwepo":bolt:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…