Ni sahihi mpenzi/mchepuko/mke wako kukupangia style za kufanya mapenzi???

Ushasema ni mchepuko/mpenzi huna mamlaka ya kumpangia utakavyo wewe hata sh 10 ya mahari hujatoa unabinua watoto wa watu looo
Oa mkeo umbinue utakavyo period
Sawa ndugu mahali hajatoa ila kamnunulia smart phone, inatosha kutoa style zote mahali ni taratibu tu za kukamilisha ndoa, but they consume more....!!!
 
17e960695c50a007739f15e04ea456e4.jpg
 
Sawa ndugu mahali hajatoa ila kamnunulia smart phone, inatosha kutoa style zote mahali ni taratibu tu za kukamilisha ndoa, but they consume more....!!!
Hhaa hizo smartphone umejipendekeza kumpa maana si sheria kumhudumia mchepuko
ila kwa wife its compalsory kumhudumia
 
Kubalianeni tu mnayoiafiki hiyo hiyo.

Kama anaumia ni vyema anavyokwambia kwa sababu kile kitendo na maumivu ni kama maji na mafuta.
Kwanini wanawake wengine hawasemi kama wanaumia? yaani atakubali vyovyote unavomkunja, mwengine mpaka umuulize kama anaumia ndio atakubali, tena kwa kutingisha kichwa tu! Ila mwanzo anavogugumia waweza kufikiri utam umemkolea, mpaka uwe mzoefu ndo utahisi kugugumia huku sio raha huyu anaumia
 
ili chapati ipate nguvu ya kugeuzwa geuzwa sharti itiwe mafuta ya kutosha,je umemtia pesa hiyo bibie ili umgeuze geuze!? Maana mafuta ya mwanamke ni pesa hebu Fanya kumpa pesa uone kama atalalama
 
Duuh ngoja kwanza ni experience baada ya mechi zijazo maana leo anatoroka kwao kuja home na atakaa kwa wiki mbili then nitaleta mrejesho mpya.
 
It depends lakin Nadhan yule aliesema mapenz vionjo hakukosea. Inabidi ujiachie uwe free, zikianza sheria na formalities huta enjoy.. Jifanye mjinga tu... Love is beautiful thing
 
Kwanini wanawake wengine hawasemi kama wanaumia? yaani atakubali vyovyote unavomkunja, mwengine mpaka umuulize kama anaumia ndio atakubali, tena kwa kutingisha kichwa tu! Ila mwanzo anavogugumia waweza kufikiri utam umemkolea, mpaka uwe mzoefu ndo utahisi kugugumia huku sio raha huyu anaumia

Nadhani saa nyingine kutokusema kunaletwa na kuogopa kumtoa mtu kwenye mstari kwa sababu kuna mwingine kitendo cha kusema nasikia maumivu basi unaweza shangaa dude lina lala na mpaka liamke tena inahitajika kazi ya ziada.

Hongereni na poleni wadada, mnavumilia mengi katika kuhakikisha umemkojoza mwenzio....you aren't as selfish as men
 
Wana MMU
Kama title inavyojieleza
Ni sahihi kweli upo na mpenzi/mke/mchepuko wako kunako 6×6 mnagegedana lakini anakupa masharti umgegede kwa style moja au 2 tu ,
Ukimuuliza kwa nini anatoa visingizio Mara style hiyo naumia ,Mara tumbo linauma
Kwa nnavyojua raha ya kugegeda basi upige style tofauti tofauti ,mtoto ageuzwe geuzwe kama chapati
Sasa hii ya kupangiana style ni haki kweli jamanii katika mchezo??
Nawasilisha
Mkuu tafuta ambao hawaumii , kwa nn uwe na kinyongo bana mapenzi ni furaha sasa kama hufurahii wa nn ,achana nae tafuta mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom