ni sahihi kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ni sahihi kweli?

Discussion in 'Love Connect' started by beibe nasty, Apr 16, 2012.

 1. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kuna watu huwa wanaikera sana sasa sijui nipo sahihi au lah eti unamwambia ninashida naomba nisaidie eti anakwambia poa halafu anapotea na anakuchunia etii sa minawashangaa sana coz hakuna ulazima wakumsaidia mtu kutoa ni moyo tuu na jins ulivyoguswa sasa kinachomfanya achune ni nini na wala hujamlalamikia wala nini. Kiukweli wanakera watu wa hivi je nipo sahihi au nipo na makosa juu ya hawa watu wa aina hii?
   
Loading...