new forest
Member
- Mar 28, 2024
- 46
- 126
Mlee vizuri huyo mtoto ndio msaada wako wa badaae mambo hugeuka Broo! Mlee kama umemzaa wewe.Habar Wana JF?, kuna Binti mmoja nimemuoa zaidi ya mwaka sasa, nimezaa naye mtoto mmoja. Lakini kabla ya hapo alikuwa na mtoto mwingine mwenye umri WA miaka mitano, na makubaliano yetu ilikuwa mtoto huyo aende akaishi na baba yake tutakapo oana, na yeye akaafiki na kweli baba mtoto alikuwa kuchukua akawa anaishi naye, na baba WA huyo mtoto kaoa ana mke ana watoto wengine.
Sasa siku zimekatika majuzi huyu mke wangu kaenda kumsalimia mtoto wake Kwa baba yake , karudi ananiambia huyo mtoto wake anateseka sana huko, kakonda, hasomi nk, Kwa hyo anataka amchukue Kwa baba yake tuwe tunakaa naye sisi. Naomba ushauri wenu wadau, itakuwa nn SAHIHI Mimi kumlea mtoto WA KAMBO na baba yake yupo?. Na kama mnavyojua changamoto za mtoto WA KAMBO sitakuwa na uhuru WA kutosha kumlea ninavyotaka coz sio damu yangu. Hii imekaaje wadau?
Mpeleke kwa bibi yake mzaa mama yakeHabar Wana JF!
Kuna Binti mmoja nimemuoa zaidi ya mwaka sasa, nimezaa naye mtoto mmoja. Lakini kabla ya hapo alikuwa na mtoto mwingine mwenye umri wa miaka mitano, na makubaliano yetu ilikuwa mtoto huyo aende akaishi na baba yake tutakapo oana, na yeye akaafiki na kweli baba mtoto alimchukua akawa anaishi naye, na baba wa huyo mtoto kaoa ana mke ana watoto wengine.
Sasa siku zimekatika majuzi huyu mke wangu kaenda kumsalimia mtoto wake Kwa baba yake , karudi ananiambia huyo mtoto wake anateseka sana huko, kakonda, hasomi nk, Kwa hyo anataka amchukue Kwa baba yake tuwe tunakaa naye sisi.
Naomba ushauri wenu wadau, itakuwa ni SAHIHI mimi kumlea mtoto wa KAMBO na baba yake yupo?.
Na kama mnavyojua changamoto za mtoto wa KAMBO sitakuwa na uhuru wakutosha kumlea ninavyotaka coz sio damu yangu. Hii imekaaje wadau?
Bibi mzaa mama na Babu mzaa mama ni marehemu woteMpeleke kwa bibi yake mzaa mama yake
Hebu rudi kwenye maandiko na mafunzi ya imani yako yanasemaje. Ongea na viongozi wa dini.Habar Wana JF!
Kuna Binti mmoja nimemuoa zaidi ya mwaka sasa, nimezaa naye mtoto mmoja. Lakini kabla ya hapo alikuwa na mtoto mwingine mwenye umri wa miaka mitano, na makubaliano yetu ilikuwa mtoto huyo aende akaishi na baba yake tutakapo oana, na yeye akaafiki na kweli baba mtoto alimchukua akawa anaishi naye, na baba wa huyo mtoto kaoa ana mke ana watoto wengine.
Sasa siku zimekatika majuzi huyu mke wangu kaenda kumsalimia mtoto wake Kwa baba yake , karudi ananiambia huyo mtoto wake anateseka sana huko, kakonda, hasomi nk, Kwa hyo anataka amchukue Kwa baba yake tuwe tunakaa naye sisi.
Naomba ushauri wenu wadau, itakuwa ni SAHIHI mimi kumlea mtoto wa KAMBO na baba yake yupo?.
Na kama mnavyojua changamoto za mtoto wa KAMBO sitakuwa na uhuru wakutosha kumlea ninavyotaka coz sio damu yangu. Hii imekaaje wadau?
wewe ni shetani binaadamuMtoto wa Miaka mi 5 ni mkubwa sana anaweza kujitegemea usimchukue
🔨🔨🔨🔨🔨🔨📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌Kama mke anatosha vigezo vyote vya kuitwa mama watoto na anakutii kaa nae chini mpe masharti na umchukue umlee. Kuna riski sana lakin ukibahatika utapata dhawabu uzeen. Kuna jamaa yeye aliolewa na mama yake yule mzee aliwakubali kwasasa kawachomoa wadogo zake wote na mzee anakula bata. Usibague kabisa. Ukikaa na kiumbe chochote usibague kabisa ni hatar sana.
Acheni kuzaa zaa hovyo kama mbuziwewe ni shetani binaadamu
Ni SAHIHI ila tatizo baba yake yupo na sio kwamba hajiwwezi au kamkataa mtoto wake hapana. Ila ni wasiwasi WA mama yake kuwa mtoto wake anateseka Kwa baba yake Bora akae naye mwenyewe.Mlee vizuri huyo mtoto ndio msaada wako wa badaae mambo hugeuka Broo! Mlee kama umemzaa wewe.
Fikiria kama umepata ajali umefariki then mkeo anaolewa na mwanaume mwingishe kisha ambague mtoto wako.
Mlee bila kufikiria kama baba yake yupo.
Muache mtoto kwa baba yake usiwe Fala kubeba majukumu ya mtu mwingine ambae yuko hai na anatakiwa kuwajibika kwa mtoto wake, usiwe boya labda kama baba yake kafa hapo sawa ila kama yupo hai usikubali huo ujingaNi SAHIHI ila tatizo baba yake yupo na sio kwamba hajiwwezi au kamkataa mtoto wake hapana. Ila ni wasiwasi WA mama yake kuwa mtoto wake anateseka Kwa baba yake Bora akae naye mwenyewe.
"mlee vizuri" angalau ungeishia hapo, lakini maneno mengine yote yaliyofuata ungeyafuta kabisaMlee vizuri huyo mtoto ndio msaada wako wa badaae mambo hugeuka Broo! Mlee kama umemzaa wewe.
Fikiria kama umepata ajali umefariki then mkeo anaolewa na mwanaume mwingishe kisha ambague mtoto wako.
Mlee bila kufikiria kama baba yake yupo.
Bibi mzaa mama na Babu mzaa mama ni marehemu wote
Kwa hiyo kumbe mke wako na baba mtoto wake wanatembeleana kama kawaida wakiunganishwa na mtoto?Habar Wana JF!