Mimi kwa kweli niki prove mpenzi wangu anatembea na mwanamke flani.. Kwa kweli sitakuwa na muda wa kupoteza na kujiaibisha kwenda kugombana na huyo bi dada maana sijui mpenzi wangu kamweleza nini mpaka akamkubali.. Nita deal na huyo mpenzi wangu mwenyewe..!
unajuwa uelewa wako na wangu haviwezi kulingana kabisa nikweli wengi huanza na vitisho, ila kwa mtazamo wangu namaamzi yangu siwezi anza na upande wa pili bali nitaanza na upande wangu. itakuwa kunasababu iliyo msukuma mtu wangu afanye vile na itabidi nimuulize kwa upole ili nipate hasa yaliyo moyoni mwake.
SnowBall huwa ipo sana
Kwani unajikuta wewe umemwamini sana mwenzako na unajiaminisha kabisa kuwa sio yeye kwa hiari yake ameenda upande wa pili
Yaani unajiambia kabisa kuwa alitongozwa na sio yeye aliyejipeleka
Ile imani yako kwa mwenzako ndio inakufanya ujiamini na kumuona mwenzako hana makosa makosa makosa yako kwa yule wa upande wa pili hata kama mtu wako ndio alijitongozesha mwenyewe
SnowBall hadi hapo utakapokubaliana na moyo wako kuwa hata partner wako nae ni mdhaifu hapo ndio unaweza kuutoa ukweli wako moyoniSasa kwa maoni yako mkuu unaona ni sawa?...when do we need to sue our partners?
Watu wanaona mabadiliko, kwa vyovyote mtu wako akibadilika lazima kuna kinachombadilisha (haijalishi amekifata au kimemfata). Kuattack upande wa pili ni muhimu wakati ushaattack upande wa kwanza (kwa kistaarabu).
SnowBall sometime shetani tunamsingizia mambo mengine ambayo hata yeye anaona aibu kutuambia kuwa tunamsingiziaKwa hiyo ni vizuri kuanza na upande wako?..then akikuambia kuwa ni 'shetani' tu..then ndo unaenda the other side??