Ni sahihi Bakhresa kuweka vigezo dini kwenye qualification ya ajira, tunaipeleka nchi wapi?

Status
Not open for further replies.

shikulaushinye

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
828
456
BAKHRESA Group-Azam
JOB VACANCY ANNOUNCEMENT

Requirements
• Applicable to. Tanzanian Citizens primarily based in Dar es Salaam
Holder of Islamic Studies Degree from any Reputable Islamic University
• Strong Command in Written and Spoken English and Arabic
• Preferably between 35 to 60 years of age.
• 10 years of relevant experience.
• The position attracts a competitive pay package
• Business & Project Management skills will be an added advantage
 
Huwe na hakika na unacho kinena angalia sehem ndogo tu ya udereva kuna madereva weye rozali vifuani mwao ukiwa na lako jambo tafuta jambo zuri naona humu unaleta habari za kwenye kahawa.
 
Kampuni yake ofcourse ana haki maana capitalism based on an individual interest... kama halikufai taratiiibu unaachana nali..
Mimi ngekua yeye ngeajiri wake za watu tu na kigezo uwe na mtafaruku na mmeo..

Kwa mara nyingine tena Wazungu mnajidai kuwaiga lkn hamuwaelewi, mnajifunza kiingereza cha Wazungu lkn critical thinking ya Wazungu hamna, nyie mnachukuwa Lugha tu!
Mkisikia neno basi mnalichukuwa kama lilivyo, ni nani amekwambia kwenye capitalism hakuna sheria za nchi? ni nani amekwambia kwenye capitalism unafanya unavyotaka kwa kuwa Kampuni ni yako? kama ni hivyo ni kwa nini unatumia br. za Umma, umeme wa umma, Maji ya umma, Askari wa umma amani ya nchi inasimamiwa na JW,
 
BAKHRESA Group-Azam
JOB VACANCY ANNOUNCEMENT

Requirements
• Applicable to. Tanzanian Citizens primarily based in Dar es Salaam
Holder of Islamic Studies Degree from any Reputable Islamic University
• Strong Command in Written and Spoken English and Arabic
• Preferably between 35 to 60 years of age.
• 10 years of relevant experience.
• The position attracts a competitive pay package
• Business & Project Management skills will be an added advantage
Hujaonesha aina ya kazi inayotangazwa kwa makusudi tu
 
BAKHRESA Group-Azam
JOB VACANCY ANNOUNCEMENT

Requirements
• Applicable to. Tanzanian Citizens primarily based in Dar es Salaam
Holder of Islamic Studies Degree from any Reputable Islamic University
• Strong Command in Written and Spoken English and Arabic
• Preferably between 35 to 60 years of age.
• 10 years of relevant experience.
• The position attracts a competitive pay package
• Business & Project Management skills will be an added advantage

ingekuwa public institution ninge-comment.

private - no comment!
 
Kwa mara nyingine tena Wazungu mnajidai kuwaiga lkn hamuwaelewi, mnajifunza kiingereza cha Wazungu lkn critical thinking ya Wazungu hamna, nyie mnachukuwa Lugha tu!
Mkisikia neno basi mnalichukuwa kama lilivyo, ni nani amekwambia kwenye capitalism hakuna sheria za nchi? ni nani amekwambia kwenye capitalism unafanya unavyotaka kwa kuwa Kampuni ni yako? kama ni hivyo ni kwa nini unatumia br. za Umma, umeme wa umma, Maji ya umma, Askari wa umma amani ya nchi inasimamiwa na JW,
Wenye busara huchagua ya kuzungumza ila hua "hawazungumzizungumzi"
 
Inategemea possition ipi.
Usiweke general tu.
Halafu Hembu kabla ya kuingilia hili jiulize.

AZAM Media
Tido Muhando
Charles Hillary
Wasiwasi Mwabulambo
Eddo Kumwembe
Patrick Nyembera
Adrian Hillary
Irene Kilenga
Nk,mbona vigezo vyao vilikuwa vya kawaida na wamekamata nafasi nzuri sana tu

Halafu Angalia kwamba Ubungo Islamic School,pale mbona Wakristo telee wanasoma pale na hakuna ubaguzi,halafu jiulize Seminary za upande wa pili uone vigezo vyake.
Kuna Chuo Kimoja cha Ualim sharti lao lazima uwe Mkristo,sasa jiulize na hao
Mbona mahubiri kwenye Mabasi ye mwendo kasi watu wamekaa kimya,tena ukiangalia mabasi kibaoo ya Mikoani yanamilikiwa na Waislam na watu hawajali,we Unahubiri Route ya Tanga na watu wanakuaachia.Nchii hii ni huru sana

Halafu jiulize tena Banks zenye mfumo wa Islamic Banking,mbona Staff wenye kuhudumia Wateja lazima wawe na Kigezo cha Elim ya Juu ya Dini ya kiislam?
Ipo mifano telee,lazima uheshim upande wa pili wa Dini na ujue kwamba hii ni Biashara huria na kama wakristo Bakhresa ameajiri telee kuliko Kampuni yoyote unayoijua wewe hapa nchini na wapo Kwenye position Kubwa tu.
Bakhresa ni Brand kubwa sana,na ina products nyingi sana
Na ujue kwamba amejiunga na Organization moja Kenya ya kuuza Bidhaa Halal,sasa lazima jua kwanza ni majukum gani mtu anatakiwa kuwa nayo katika position anayoiomba.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom