Afrika Furaha
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 329
- 9
ni agano la Mungu ndugu yangu!ndugu zangu, hebu jiulize ::: Ni sababu gani kuu inamfanya au inamlazimisha mtu aingie ktk ndoa? Kwa nini unataka ndoa?? Je ni kwa sababu ya kupata mtoto?? Au kwa sababu wazazi wamesema lazima?? Au itakufanya uishi kwa raha?? Au utaondoa mikosi ya maisha?? Au ni kwa sababu ndugu zako wote wapo ktk ndoa, hivyo lazima na wewe uwe nayo?? Au utapata heshima zaidi ukiwa na ndoa?? Au ni nini haswaaa? Tusaidiane kujibu jamani . . .
hehehe kijana kapelekewa kadi ya mchango wa harusi, kaona aje aanzishe sredi JF. peleka mchango wa watu bana!
kwasababu mnapendana
fasheni
kwasababu mnajisikia mmekuwa wakubwa.
meno 32 msuwaki mmoja! its not fair bana! [/B]
]
all of the above!...lol:teeth:
Hahahahahahaha sasa wewe unataka uwe na miswaki 32? Kila jino na mswaki wake LOL! Siku moja nilikuwa naangalia mechi ya ligi kuu kati ya Simba na Majimaji miaka ile majimaji walikuwa wakali kama nyuki. Sasa nikawa nimekaa jirani na jamaa mmoja inaelekea hajui lolote kuhusu soka. Baada ya kama dkk 10 tangu mpira uanze akatoa bomu, "Kwanini wote hawa wanakimbiza mpira mmoja tu? Si kila mchezaji angepewa mpira wake acheze mwenye!" Watu walivyogeuka na kumkata macho hakutia neno tena mpaka mpira unaisha