Afrika Furaha
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 329
- 9
Ndugu zangu, hebu jiulize ::: Ni sababu gani kuu inamfanya au inamlazimisha mtu aingie ktk ndoa? Kwa nini unataka ndoa?? Je ni kwa sababu ya kupata mtoto?? Au kwa sababu wazazi wamesema lazima?? Au itakufanya uishi kwa raha?? Au utaondoa mikosi ya maisha?? Au ni kwa sababu ndugu zako wote wapo ktk ndoa, hivyo lazima na wewe uwe nayo?? Au utapata heshima zaidi ukiwa na ndoa?? Au ni nini HASWAAA? Tusaidiane kujibu jamani . . .