Ni SABABU gani KUU inakulazimisha uingie ktk NDOA?

Afrika Furaha

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
329
9
Ndugu zangu, hebu jiulize ::: Ni sababu gani kuu inamfanya au inamlazimisha mtu aingie ktk ndoa? Kwa nini unataka ndoa?? Je ni kwa sababu ya kupata mtoto?? Au kwa sababu wazazi wamesema lazima?? Au itakufanya uishi kwa raha?? Au utaondoa mikosi ya maisha?? Au ni kwa sababu ndugu zako wote wapo ktk ndoa, hivyo lazima na wewe uwe nayo?? Au utapata heshima zaidi ukiwa na ndoa?? Au ni nini HASWAAA? Tusaidiane kujibu jamani . . .
 
hehehe kijana kapelekewa kadi ya mchango wa harusi, kaona aje aanzishe sredi JF. peleka mchango wa watu bana!
 
ndugu zangu, hebu jiulize ::: Ni sababu gani kuu inamfanya au inamlazimisha mtu aingie ktk ndoa? Kwa nini unataka ndoa?? Je ni kwa sababu ya kupata mtoto?? Au kwa sababu wazazi wamesema lazima?? Au itakufanya uishi kwa raha?? Au utaondoa mikosi ya maisha?? Au ni kwa sababu ndugu zako wote wapo ktk ndoa, hivyo lazima na wewe uwe nayo?? Au utapata heshima zaidi ukiwa na ndoa?? Au ni nini haswaaa? Tusaidiane kujibu jamani . . .
ni agano la Mungu ndugu yangu!
 
hehehe kijana kapelekewa kadi ya mchango wa harusi, kaona aje aanzishe sredi JF. peleka mchango wa watu bana!

[/QUOTE]meno 32 msuwaki mmoja! its not fair bana![/QUOTE]

Hahahahahah . . . good challenge, lakin umejitahidi ktk lugha zako, au kuna mtu anakutafsiria, hakupi spelling za maneno?? Lakin sishangai, watu wengi sana hukwepa kujibu swali hili, nimejaribu kuwauliza marafiki zangu woooote na ndugu zangu, lakin majibu yao mzaha mtupu, wengine ndo kama anavyojibu ndugu yangu hapa, anatafuta kianzio cha kutojibu swali ili apate pa kutokea
 
meno 32 msuwaki mmoja! its not fair bana! [/B]
]

Hahahahahahaha sasa wewe unataka uwe na miswaki 32? Kila jino na mswaki wake LOL! Siku moja nilikuwa naangalia mechi ya ligi kuu kati ya Simba na Majimaji miaka ile majimaji walikuwa wakali kama nyuki. Sasa nikawa nimekaa jirani na jamaa mmoja inaelekea hajui lolote kuhusu soka. Baada ya kama dkk 10 tangu mpira uanze akatoa bomu, "Kwanini wote hawa wanakimbiza mpira mmoja tu? Si kila mchezaji angepewa mpira wake acheze mwenye!" Watu walivyogeuka na kumkata macho hakutia neno tena mpaka mpira unaisha

TEH TEH TEH TEH TEH TEH TEH TEH TEH TEH TEH TEH! Inawezekana nae huyu hajui lolote kuhusu MSUWAKI (kama alivyoandika) au meno . . . hebu Bubu Ataka Kusema muulize kijana kama anajua kupiga MSUWAKI??? TEH TEH TEH TEH TEH TEH TEH TEH TEH TEH TEH TEH
 
Back
Top Bottom