Ni root cmu yangu au la???

Ni root cmu yangu au la???

sulfametopyrazine

Senior Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
134
Reaction score
26
Hbr za wknd wana jf wa tech...mm nina kasimu kang ka galaxy mega 6.3 afu kwa jins ninavyoona mm niki root simu yang kuna fiada kadhaa na hasara kadhaa...embu nijuzen faida na hasara ya ku root cmu..nawatakia wknd njema najua saiv ucku wa2 wanajiandaa kwenda kwny michepuko..kila la kher uckamatwe..
 
Swali la kujiuliza, je una root kwasababu watu wana root au kunakitu unahitaji kwenye simu yako lakini hakiwezekani hadi u root simu yako?
 
Mkuu hiyo simu na mimi naitumia,ninapoicharge inatumia usiku mzima yaani ukianza kuichaji saa tatu usiku inajaa 12 asubuhi au battery ndo kimeo ?
 
Mkuu nimefanikiwa kuistall poot,ministro II na imedownload QT libraries.
sasa nikienda hatua ya press here to poot inazima.Simu yangu ni tecno p3.

Je!Nifanyeje sasa?
PLEASE,Msaada.

Unaiacha irestart. Si ajabu ukawa usharoot.
 
Sina hakika,sasa haizimi ila inaleta maelezo mengi yanagoishia hivi A DEMON WAS MATERIALISED WHILE POOTING.ERROR CODE 22.su binary was not written

Rudia process. Mi mwenyewe nilirudia mara kadhaa
 
Pia nimewahi fanikiwa kuroot kwa kutumia pc kwa software ya Mobogenie.Je,njia hii ni bora pia kama ya kitumia poot?

Sidhani kama poot inauhusiano na PC. Programu za kuroot kupitia pc ni tofauti, mfano super one click
 
Samahani,usichoke.Je! Ku-root kwa kutumia pc kunafanya sawasawa naku-root bila kutumia pc kama vile Poot?
 
Samahani,usichoke.Je! Ku-root kwa kutumia pc kunafanya sawasawa naku-root bila kutumia pc kama vile Poot?

Ndio mkuu. Its almost the same. Na kama tofauti ipo ni ndogo sana. Sjawahi kuroot kutumia PC, ila nadhani itakuwa inaroot ila hai install superuser, ambayo ni app kwenye simu inayoruhusilu na kuzuia root access kwa apps nyingine
 
Back
Top Bottom