Ujue sisi wa Tanzania wengi wetu(kasoro mimi na wachache) wanekuwa wepes saba kudanganywa na wanasiasa hasa hawa wanaojiita UKAWA
Kila siiiiku itokayo kwa Mungu, likitokea jambo lolote lile utasikia watu (UKAWA) wakisema aahh Ile mali ya Ridhiwan ile,,,pale kuna mkono wa Ridhiwan pale,,,yaaan kila kitu n yyt,,amekua bill gate au? hv na nyie hata hamjiuliz?
Tumekaa tu tunawasikiliza walaghai flan wanaotudanganya kutuletea nchi ya ahadi hahahaha.
Tumia akil yako kuona mambo kwa jicho la 3
Ni tatizo kubwa sana na linawanyima usingizi mno. kama unakumbuka vizuri Mh. pinda alisema UKAWA wakienda kwa wananchi na wao wataenda pia. Sasa Nape na Kinana wako mitaani kwa kisingizio cha kutekeleza ilani wakati budget ya serikali hifikii 50% ya hela zinazoidhinishwa. Chaajabu wamechukuwa mawaziri, Wakuu wa mikoa, Wilaya wakawavika mavazi yenye rangi kama senene kumbe ni kujibizana na UKAWA. Viongozi wa serikali wanahubiri ilani ya CCM badala ya kutumikia wananchi. Chaajabu zaidi wako timu yoooooote hiyo ila UKAWA imekuwa mwiba kiasi kwamba wakuu hao wa Mikoa na polisi kwa kisingizio cha intelijensia wamezuia mikutano ya UKAWA. Hiyo ya CCM nadhani intelijensia haisomi. this is Bull sheet type of country. Asubuhi njema ndugu yangu NdibalemaNimegundua UKAWA ni tatizo kubwa sana kwa CCM.
coconut head...
Asubuhi asubuhi kiroba.. kachape kazi..
bilionea kijana na #1 nchini ktk kipindi cha miaka 10 tu.ndg Ridhiwani Kikwete.