Ni Ridhiwani Kikwete, Yes!! Mtoto wa Baba Riz

Danpol

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
4,590
2,000
Ujue sisi wa Tanzania wengi wetu(kasoro mimi na wachache) wanekuwa wepes saba kudanganywa na wanasiasa hasa hawa wanaojiita UKAWA

Kila siiiiku itokayo kwa Mungu, likitokea jambo lolote lile utasikia watu (UKAWA) wakisema aahh Ile mali ya Ridhiwan ile,,,pale kuna mkono wa Ridhiwan pale,,,yaaan kila kitu n yyt,,amekua bill gate au? hv na nyie hata hamjiuliz?

Tumekaa tu tunawasikiliza walaghai flan wanaotudanganya kutuletea nchi ya ahadi hahahaha.

Tumia akil yako kuona mambo kwa jicho la 3
 
RockSpider

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
6,865
1,500

100% positive, hawa CDM na UKAWA wanatuonea, yaani wao wanafikiria mapato ya Uranium, Dhahabu, Almasi, Nickel, Makaa ya Mawe, Gypsum, Tanzanite, Ruby, Mito, Maziwa, Bahari, Mbuga za Wanyama, Shaba, Chuma nk vinatosha kugharamia ununuzi wa madawati? hawajui kuwa wagonjwa ni wengi na hatuna hela ya kununua vitanda achilia mbali madawa na kuwalipa madaktari... watuache sisi na wazungu wetu!!! Miwivu imewajaa hawa UKAWA! ... UKAWA hawajui kuwa Makampuni makubwa ya kimataifa Barrick, BG et al huwa wanatupa fedha nyingi sana za kugharamikia uchaguzi!! watasubiri sana kututoa madarakani kwa masanduku ya kura !!!
 
google helper

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
8,337
2,000
ujinga na upumbavu wako ni kwamba hata ulichotumwa umekisahau hivyo basi rudi kaulize tena ......................
 
TZ kwanza

JF-Expert Member
Feb 25, 2013
250
225
Kwa mawazo kama haya ,nchi hii inahitaji maombi aisee?? Duu siamini kama ulichokisema kama uko serious,nakama ndio hivyo basi tuna kazi yakufanya nchi hii,
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,386
2,000
Maisha bora kwa kila mtanzania,shule hazina madawati,walimu mishahara midogo na kwingine hakuna,hospitali hata panadol shida,halafu wenyewe twaenda APOLLO kutibiwa na vijukuu vyetu vya soma UGHAIBUNI.
 
ifweero

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
7,961
1,225
Utasikia hata mkoa wa dsm ni wa kwake na si ataununua na mkoa wa morogoro,mbeya na mwanza na kilimanjaro
 
Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,236
2,000
Nimegundua UKAWA ni tatizo kubwa sana kwa CCM.
Ni tatizo kubwa sana na linawanyima usingizi mno. kama unakumbuka vizuri Mh. pinda alisema UKAWA wakienda kwa wananchi na wao wataenda pia. Sasa Nape na Kinana wako mitaani kwa kisingizio cha kutekeleza ilani wakati budget ya serikali hifikii 50% ya hela zinazoidhinishwa. Chaajabu wamechukuwa mawaziri, Wakuu wa mikoa, Wilaya wakawavika mavazi yenye rangi kama senene kumbe ni kujibizana na UKAWA. Viongozi wa serikali wanahubiri ilani ya CCM badala ya kutumikia wananchi. Chaajabu zaidi wako timu yoooooote hiyo ila UKAWA imekuwa mwiba kiasi kwamba wakuu hao wa Mikoa na polisi kwa kisingizio cha intelijensia wamezuia mikutano ya UKAWA. Hiyo ya CCM nadhani intelijensia haisomi. this is Bull sheet type of country. Asubuhi njema ndugu yangu Ndibalema
 
Skype

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
7,278
1,195
UKAWA kama maji, usipoyanawa utayaoga, usipoyaoga utayanywa, usipoyanywa utapikia chakula, usipoiandika kwenye kichwa cha habari lazima uiandike kwenye maudhui kama alivyofanya mleta mada yaani ukilala ukiamka lazima useme shikamoo UKAWA. Pole.
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
49,338
2,000
Ujue sisi wa Tanzania wengi wetu(kasoro mimi na wachache) wanekuwa wepes saba kudanganywa na wanasiasa hasa hawa wanaojiita UKAWA

Kila siiiiku itokayo kwa Mungu, likitokea jambo lolote lile utasikia watu (UKAWA) wakisema aahh Ile mali ya Ridhiwan ile,,,pale kuna mkono wa Ridhiwan pale,,,yaaan kila kitu n yyt,,amekua bill gate au? hv na nyie hata hamjiuliz?

Tumekaa tu tunawasikiliza walaghai flan wanaotudanganya kutuletea nchi ya ahadi hahahaha.

Tumia akil yako kuona mambo kwa jicho la 3

how old are you??
 
hexacyanoferrate

JF-Expert Member
May 15, 2014
1,220
2,000
Ujue sisi wa Tanzania wengi wetu(kasoro mimi na wachache) wanekuwa wepes saba kudanganywa na wanasiasa hasa hawa wanaojiita UKAWA

Kila siiiiku itokayo kwa Mungu, likitokea jambo lolote lile utasikia watu (UKAWA) wakisema aahh Ile mali ya Ridhiwan ile,,,pale kuna mkono wa Ridhiwan pale,,,yaaan kila kitu n yyt,,amekua bill gate au? hv na nyie hata hamjiuliz?

Tumekaa tu tunawasikiliza walaghai flan wanaotudanganya kutuletea nchi ya ahadi hahahaha.

Tumia akil yako kuona mambo kwa jicho la 3

Wewe ndiye unaye danganywa na hao ccm,mchumia tumbo!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom