Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,943
Poleni sana.Naona unajitekenya na kujichekesha mwenyewe kama mjinga vile.
Sasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika!
Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada Ritz Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya sasa. Hii inaonesha tu, hadi mitandaoni wameona watu wao kina Lucas Mwashamba ChoiceVariable @Tlaatha na wengineo wameshindwa kazi.
Napenda kuwaambia Chama Cha Mapinduzi. Haya yanayotokea ni lazima yatokee kwa sababu wakati haupo upande wao.
Natembea mitaani, nazungumza na watu, kusema kweli uchaguzi wa CHADEMA umebadilisha sana fikra za watanzania na sasa wameanza kukiona CHADEMA kama chama kilichofuzu na kinachostahili kukamata dola.
Ni vizuri sasa wajiandae pia kuwa Chama Pinzani au kama wakilazimisha wajiandae siku kuwa na Serikali ya Mseto( Na hili ni endapo TISS wakiamua kuwabeba maana saivi TISS wameanza kupata akili na hawataki tena upuuzi wa wanasiasa wanataka mifumo imara ya kuendesha nchi)
Poleni sana CCM. Lissu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Lissu ni zawadi kwa Tanzania. Jueni tu Tanzania itaendelea kuwepo na itastawi zaidi bila nyie.
Hata wewe una comment huku ukiiogopa comment yako.Tundu hawezi mchanganya mtu weee
Hii propaganda yenu ilishazikwa kitambo. Kwani Lema kawa mmasai siku hizi? Mbona anamuunga mkono Lissu na akawa wakala wake kwenye kuhesabu kura?Wamepanic kivipi wakati they think about how to harvest 48.5% CDM members ambao hawajampigia Mbowe
We unafikiri wachaga watamuachia Lissu kilaini laini
HahahahahaMtu aliyeitetemesha CCM ni Mbowe, na tumefanikiwa kumuondoa kupitia Lissu. Sasa hivi ni iyena iyena tu.
Naona umechanganyikiwa kabisaPoleni sana.
π€£ Mama D nchi inaenda upinzani hivihivi huku mnaona!Tundu hawezi mchanganya mtu weee
Kati yako wewe uliyeleta kabisa uzi kusema umeumia Lissu kuwa Mwenyekiti na Mimi niliyekuwa sehemu ya kampeni ya Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA nani amechanganyikiwa?Naona umechanganyikiwa kabisa
Labda kama chama kitaongozwa kutokea Club House.Hahahahaha
Vipi maumivu ya kupigwa Bil 12 yamepoa?
Polee sana. Ila Bil 12 ni nyingi sana aisee.Labda kama chama kitaongozwa kutokea Club House.
Akina Mwashamba na Tlaatlaah wawabie ukweli maboss wao na wasiwe na hofu ya kusitishwa posho zao.Sasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika!
Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada Ritz Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya sasa. Hii inaonesha tu, hadi mitandaoni wameona watu wao kina Lucas Mwashamba ChoiceVariable @Tlaatha na wengineo wameshindwa kazi.
Napenda kuwaambia Chama Cha Mapinduzi. Haya yanayotokea ni lazima yatokee kwa sababu wakati haupo upande wao.
Natembea mitaani, nazungumza na watu, kusema kweli uchaguzi wa CHADEMA umebadilisha sana fikra za watanzania na sasa wameanza kukiona CHADEMA kama chama kilichofuzu na kinachostahili kukamata dola.
Ni vizuri sasa wajiandae pia kuwa Chama Pinzani au kama wakilazimisha wajiandae siku kuwa na Serikali ya Mseto( Na hili ni endapo TISS wakiamua kuwabeba maana saivi TISS wameanza kupata akili na hawataki tena upuuzi wa wanasiasa wanataka mifumo imara ya kuendesha nchi)
Poleni sana CCM. Lissu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Lissu ni zawadi kwa Tanzania. Jueni tu Tanzania itaendelea kuwepo na itastawi zaidi bila nyie.
Alafu naskia wanavuta parefu kichizi yaaani kwa kuletaga uharo wao humu jamviniAkina Mwashamba na Tlaatlaah wawabie ukweli maboss wao na wasiwe na hofu ya kusitishwa posho zao.
Kwa kuwa mumemchagua kibaraka Lisu kutoka Jupiter au? ππSasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika!
Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada Ritz Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya sasa. Hii inaonesha tu, hadi mitandaoni wameona watu wao kina Lucas Mwashamba ChoiceVariable @Tlaatha na wengineo wameshindwa kazi.
Napenda kuwaambia Chama Cha Mapinduzi. Haya yanayotokea ni lazima yatokee kwa sababu wakati haupo upande wao.
Natembea mitaani, nazungumza na watu, kusema kweli uchaguzi wa CHADEMA umebadilisha sana fikra za watanzania na sasa wameanza kukiona CHADEMA kama chama kilichofuzu na kinachostahili kukamata dola.
Ni vizuri sasa wajiandae pia kuwa Chama Pinzani au kama wakilazimisha wajiandae siku kuwa na Serikali ya Mseto( Na hili ni endapo TISS wakiamua kuwabeba maana saivi TISS wameanza kupata akili na hawataki tena upuuzi wa wanasiasa wanataka mifumo imara ya kuendesha nchi)
Poleni sana CCM. Lissu ni mpakwa mafuta wa Mungu. Lissu ni zawadi kwa Tanzania. Jueni tu Tanzania itaendelea kuwepo na itastawi zaidi bila nyie.
Ila nikisoma comments zako between the lines tangu Lissu awe mwenyekiti na feel kwa kiasi gani unaumia mzeeπ€£π€£π€£Kwa kuwa mumemchagua kibaraka Lisu kutoka Jupiter au? ππ