Ni rais wa taifa kubwa sana duniani huyu!!

Ni rais wa taifa kubwa sana duniani huyu!!

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ImageUploadedByJamiiForums1447598906.763106.jpg
 
Ataweza kweli wakati hata hawafungui mlango wa gari wanafunguliwa hata gari binafsi
 
Hizi ni level kubwa za viongozi waliopevuka kifikra putin ni jasusi commando mzuri hata bord guard hataki
 
Na huyu je?
 

Attachments

  • 1447605672856.jpg
    1447605672856.jpg
    24.1 KB · Views: 694
Hahahaha watu ambao madaraka hayajawalevya ndo wanafanya hvo ile wengine mpaka mlango wa toi wanafunguliwa
 
Huyo mbabe achana naye, radar zote za KGB zinasoma njia zote anazopitia
 
Angalieni kwa mbali walinzi walivyojaa hiyo shell iko Kwenye lock down hapo
 
Dunia ya kwanza taratibu wanaanza kumuelewa!!! Hasa kuhusu ISIS
 
Back
Top Bottom