Ni njama mbadala?

mludego

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
2,642
Reaction score
3,653
Jamani naomba kupata ufafanuzi juu ya kitambulisho cha utaifa na kadi ya mpiga kura ni kipi kati ya hivi kitatumika katika kupiga kura 2015?
Au ni vyote vitatumika kama ni hivyo idadi itazidi kupungua ya wapiga kura ili kuiondoa ccm kwenye ulevi wa madaraka...
 
Hivi wana jf mliamini eligible voters mwaka 2010 walikua 20m?kati ya population 43m.huo ni uongo ina maana population ktk age bades sio pyramid
 
hawakufika m 20! hata kenya walikuwa m 14 tuu! kuna hoja ya kitaalamu hapo inahitajika, political scientists please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…