nxon
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,162
- 408
katika pitapita zangu kwenye http://www.gsmarena.com nimekutana na screen protections kama
1- Corning Gorilla Glass
2- Scratch-resistant glass
na pia brand kubwa kama iPhone, HTC, Asus, Motorola, Nokia (lumia) na nyingine kwa asilimia kubwa zinatumia Corning Gorilla Glass ukitofautisha na kama Huawei, Samsung, ZTE, nk.. zinatumia Scratch-resistant glass.
kwa mtaalamua anaye jua tofauti kata ya hizi dispalay protection atufafanulie zaidi na kwanini brand kubwa zianatumia Corning Gorilla Glass na hata price group yake inakuwa kubwa tafauti na zinazo tumia Scratch-resistant glass huwa price group yake ni ndogo?