Naiona sumu ya visasi ikiendele kumea na inakua kwa kasi kubwa na
Kila mtu akipata madaraka au nafasi ya kuongoza cha kwanza anawaza nianze kumkomoa nani aliye nikomesha zamani na kila aliyepata madaraka anawaza nianze kumkomesha nani aliye nikomoa zamani, laaah!
Marais hawawazi kuleta maendeleo tena bali wanawaza ni nani na nani walio kuwa hawako upande wangu kabla sijawa rais nianze nao hao kwanza maana nina mamlaka ya kufanya lolote na nina majeshi yananilinda wakati wote
Mawaziri nao hawazi kuhangaika na matatizo ya wananchi wala hawawazii kuliunganisha taifa nao wanawaza nimkomoe nani ili kupitia yeye rais anione anisifie kama mchapa kazi hodari, hahahaaaaaaaa!
Wakuu wa mikoa na wilaya nao ndio kabisaa hawawazii kabisa kuliunganishwa taifa na wananchi bali kila mmoja ana yawaza masaa yake 48 ya kumuweka ndani mtu anayatumiaje na wako bize wanapambana kutafuta nani wakumuweka ndani masaa 48 ili yatumike ,looooooooo!!
Wakurugenzi na viongozi wengine wa level hizo nao hawawazii kuliunganisha taifa bali wako bize kutafuta mikwala na vijembe vya kuwatisha watumishi walio chini yao
Vyama vya siasa kila kimoja hakiwazii kuliunganisha taifa bali kila chama kiko bize kutafuta mbinu za kukichonganisha kingine na kuwagombamisha na wengine, kila kimoja kinawaza namna gani nitakikomoa chama kingine , laaaaah!
Polisi na kundi lao nao hawawazii kabisa kuliunganisha taifa bali kila mmoja anawaza ni mbinu gani niitumie kamnasa fulani na hata asipo kuwa na hatia ni mbinu gani nitumie kumtia hatian
Najiuliza maswali haya:
1. Hali hii ina ashiria nini huko mbeleni endapo kila mtu atakuwa na kisasi kwa yale aliyo fanyiwa.
2.visasi hivi vikikomaa kabisa vikatoa na matunda kama taifa tutakiwa na aina gani ya watu
3. Hii mbegu ya visasi hii inayo endeleo kukua kwa kasi ya 4G kwa sasa ni nani atakuja kuiondoa ndani ya mioyo ya watanzania hawa
5. Nini kifanyike kuliunganisha taifa pamoja kabla halija fika kubaya zaid ambapo kwa darubini yangu naliona anguko kubwa la sifa kuu ya tanzania kuwa nchi yenye amani na upendo?
NAWASILISHA.
Hakuna kitu kibaya Duniani hapa kama chuki,visasi haya yalikuwa Rwanda mwisho wa siku mliyaona,zile zilikuwa ni hasira na kibaya zaidi watawala wanasahau kuwa kuna maisha baada ya kustaafu,anaweza akaja mtawala mwingine awe wa upinzani au hicho hicho chama tawala akaja na sera zake sijui watafanyaje,hii nchi mwalimu nyerere alituunganisha watanzania tukawa wamoja,tukapendana,mchaga anaweza kununua shamba kigoma akaishi bila tatizo,au mmasai akaoa mbondei na wakaishi kama ndugu,watoto wetu kutoka Tanga anakwenda kusoma huko mara na wanajichanganya bila tatizo ila sasa hivi awamu hii ya tano ishaanza kuipasua nchi,tena kwa kasi kubwa hii watanzania tusiikubali kabisa tukiruhusu haya yatakayotokea hapa naapa tutatafutana hapa,wataanza kutafuta suluhisho hapa,yote haya ni ya nini? Wanaofanya hivi waache huu mchezo hatari haraka sana tena waende kanisani,na misikitini wakatubu dhambi hii wanayoifanya itakuja kuwatafunaNaiona sumu ya visasi ikiendele kumea na inakua kwa kasi kubwa na
Kila mtu akipata madaraka au nafasi ya kuongoza cha kwanza anawaza nianze kumkomoa nani aliye nikomesha zamani na kila aliyepata madaraka anawaza nianze kumkomesha nani aliye nikomoa zamani, laaah!
Marais hawawazi kuleta maendeleo tena bali wanawaza ni nani na nani walio kuwa hawako upande wangu kabla sijawa rais nianze nao hao kwanza maana nina mamlaka ya kufanya lolote na nina majeshi yananilinda wakati wote
Mawaziri nao hawazi kuhangaika na matatizo ya wananchi wala hawawazii kuliunganisha taifa nao wanawaza nimkomoe nani ili kupitia yeye rais anione anisifie kama mchapa kazi hodari, hahahaaaaaaaa!
Wakuu wa mikoa na wilaya nao ndio kabisaa hawawazii kabisa kuliunganishwa taifa na wananchi bali kila mmoja ana yawaza masaa yake 48 ya kumuweka ndani mtu anayatumiaje na wako bize wanapambana kutafuta nani wakumuweka ndani masaa 48 ili yatumike ,looooooooo!!
Wakurugenzi na viongozi wengine wa level hizo nao hawawazii kuliunganisha taifa bali wako bize kutafuta mikwala na vijembe vya kuwatisha watumishi walio chini yao
Vyama vya siasa kila kimoja hakiwazii kuliunganisha taifa bali kila chama kiko bize kutafuta mbinu za kukichonganisha kingine na kuwagombamisha na wengine, kila kimoja kinawaza namna gani nitakikomoa chama kingine , laaaaah!
Polisi na kundi lao nao hawawazii kabisa kuliunganisha taifa bali kila mmoja anawaza ni mbinu gani niitumie kamnasa fulani na hata asipo kuwa na hatia ni mbinu gani nitumie kumtia hatian
Najiuliza maswali haya:
1. Hali hii ina ashiria nini huko mbeleni endapo kila mtu atakuwa na kisasi kwa yale aliyo fanyiwa.
2.visasi hivi vikikomaa kabisa vikatoa na matunda kama taifa tutakiwa na aina gani ya watu
3. Hii mbegu ya visasi hii inayo endeleo kukua kwa kasi ya 4G kwa sasa ni nani atakuja kuiondoa ndani ya mioyo ya watanzania hawa
5. Nini kifanyike kuliunganisha taifa pamoja kabla halija fika kubaya zaid ambapo kwa darubini yangu naliona anguko kubwa la sifa kuu ya tanzania kuwa nchi yenye amani na upendo?
NAWASILISHA.
Akuanzae mmalize.
Alianzwa yeye leo anawamaliza.
Naye atamalizwa huko mbeleni.
Ni kanuni mojatu.
AKUANZAE MMALIZE!!!
Hakuna kitu kibaya Duniani hapa kama chuki,visasi haya yalikuwa Rwanda mwisho wa siku mliyaona,zile zilikuwa ni hasira na kibaya zaidi watawala wanasahau kuwa kuna maisha baada ya kustaafu,anaweza akaja mtawala mwingine awe wa upinzani au hicho hicho chama tawala akaja na sera zake sijui watafanyaje,hii nchi mwalimu nyerere alituunganisha watanzania tukawa wamoja,tukapendana,mchaga anaweza kununua shamba kigoma akaishi bila tatizo,au mmasai akaoa mbondei na wakaishi kama ndugu,watoto wetu kutoka Tanga anakwenda kusoma huko mara na wanajichanganya bila tatizo ila sasa hivi awamu hii ya tano ishaanza kuipasua nchi,tena kwa kasi kubwa hii watanzania tusiikubali kabisa tukiruhusu haya yatakayotokea hapa naapa tutatafutana hapa,wataanza kutafuta suluhisho hapa,yote haya ni ya nini? Wanaofanya hivi waache huu mchezo hatari haraka sana tena waende kanisani,na misikitini wakatubu dhambi hii wanayoifanya itakuja kuwatafuna
umetumwa???
Mtahangaika sana na akili zenu ndogo hizoKwasababu wewe umetumwa na Slow slowa basi unadhani wote wanatumwa??Tumia akili za kuzaliwa basi ndugu
Mtahangaika sana na akili zenu ndogo hizo
Akina nani wenye uwezo?Ni Mheshimiwa kusema ameshindwa kuongoza TAIFA awaachie wenye uwezo.Imetosha kutugawa