spiason1 Member Joined May 31, 2016 Posts 26 Reaction score 18 Jun 6, 2016 #1 Rais kutumia pesa za serikali nje ya bajeti?
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,578 Reaction score 28,701 Jun 6, 2016 #2 spiason1 said: Rais kutumia pesa za serikali nje ya bajeti? Click to expand... Madhara ni wabunge wa UKAWA kutoka nje, wakati vikao vinaendelea
spiason1 said: Rais kutumia pesa za serikali nje ya bajeti? Click to expand... Madhara ni wabunge wa UKAWA kutoka nje, wakati vikao vinaendelea
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Jun 6, 2016 #3 Ngoja Lumumba waje hapa vilaza hawa, Lazima watetee huu u.pu.pu bila kujua kuwa fedha ya sirikali lazima iingizwe kwenye MTEFU
Ngoja Lumumba waje hapa vilaza hawa, Lazima watetee huu u.pu.pu bila kujua kuwa fedha ya sirikali lazima iingizwe kwenye MTEFU
linguistics JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 4,732 Reaction score 4,393 Jun 6, 2016 #4 Wahini basi wataalamu wa katiba mje kujibu