Kazi kweli kweli.Hii kweli ni Bangi flava si ndiyo. Na kwa rasta hiyo ndiyo chakula. Je unakumbuka wimbo maarufu sana wa Bob Marley Legalize marijuana???????
Eti hapa alijitetea kuwa wakija akina 50 na wakafanya hivyo mnawashangia eti yeye mnampeza....inatia aibu na inatisha..si kila kitu lazima uige na ndio maana sasa wanaoga na Ushoga