Naftari Erasto
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 108
- 50
Dhaaa!! Sasa sisi tunaokimbilia kusoma diploma tuna wakati mgumu sana maana kuchomoka kusoma degree ni kukaza mnoooMnaenda ku deal na afya za watu acheni utani, one mistake, mtu anakufa. Sio accounting au computer ndugu. Acha wabane tu waende wenye wito na akili
Hapa kuna uhitaji na ulazima wa watu kukesha tu wakienda vyuo vya afya kuchukua diploma sawa na mwanafunzi aliyepita advance PCB tyuu3.5 ndio minimum qualification kwa undergraduates wote wanaotokea diploma.
clinical medicine ni koz mbovu kuliko zote za afya we kasome tu hivo hivo, wala haina ushindani hioWakuu naomba kufahamu ni kipi hasa cha mno kinachosababisha kozi ya clinical medicine kuwa na ushindani mkubwa sana katika uombaji wa naasi za vyuo?
Je ni kweli kwamba ndo kozi bora kuliko kozi zote za afya kama watu tunavyodhani???
Na kwanini vigezo vya kuingia afya vinabana siku hadi Siku? Nimesema vinabana kwa sababu nimeangalia Uzi flan watu wanapeana habari kuhusu kusoma degree kwa wenye diploma za kozi za afya kwamba kigezo ni atleast awe na gpa ya 3.5 then watu wanalalamika mnooo.
Samahani kwa mwenye kujua anipe mwanga maana nimebaki dilema
Asante sana kwa mchango wako. Ukisema haina ushindani nakuwa sikuelewi maana nimejionea yaliyotokea kwenye selection mmmh sitaki hata kusemaclinical medicine ni koz mbovu kuliko zote za afya we kasome tu hivo hivo, wala haina ushindani hio
sema wewe huna vigezo sio ushindaniAsante sana kwa mchango wako. Ukisema haina ushindani nakuwa sikuelewi maana nimejionea yaliyotokea kwenye selection mmmh sitaki hata kusema
Nani kakwkambia kozi mbovu hiyo , kama hujui bora ukae kimyaclinical medicine ni koz mbovu kuliko zote za afya we kasome tu hivo hivo, wala haina ushindani hio
nimesoma hio cozNani kakwkambia kozi mbovu hiyo , kama hujui bora ukae kimya
Umeisoma enzi hizo. Na siyo kwa sasa.
nifatilie mara wewe ndo ufatilie mana unaambiwa then unabisha kama huna sifa ndo useme ina ushindaniUmeisoma enzi hizo. Na siyo kwa sasa.
Fuatilia selection mwaka huu halafu ndo utajua ukweli wa hili jambo
Kama umesoma hiyo kozi ubovu wake uko wapi hasa , huenda ikawa wewe ndo ulikuwa mbovu na sio kozi.
nenda kasome ndo ujue ubovu wake sio nikwAmbie mieKama umesoma hiyo kozi ubovu wake uko wapi hasa , huenda ikawa wewe ndo ulikuwa mbovu na sio kozi.
utamu wa ngoma ingia ucheze sio usimuliwKama umesoma hiyo kozi ubovu wake uko wapi hasa , huenda ikawa wewe ndo ulikuwa mbovu na sio kozi.
Kupanic nayo veeepeeee??? We we unasema uliisoma na unasema ndo kozi mbovu kuliko kozi zote kumaanisha na we we ni mbovuuuu ama neneeeee????...nifatilie mara wewe ndo ufatilie mana unaambiwa then unabisha kama huna sifa ndo useme ina ushindani
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Wewe ndo mbovu mzee sio kozi, hiyo kozi wewe utakuwa hujaisoma bali ulikuwa unataka kuichukua badala ya kuisoma mambo ndo yalikugeukia, Kama ungelijipanga usingelikuwa unaiponda hiyo kozi , Itakuwa Clinical Medicine ilikukondesha wewe, Maana wepesi wa kupanic ndo waga inawasumbua.nenda kasome ndo ujue ubovu wake sio nikwAmbie mie
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Nenda kasome ndugu asikupanikishe huyo jamaaHuyu anayejiita adzo1 ndo mbovu tyuuu