Tumuite jina A alizaa na jamaa kabla ya hapo alichumbiwa wakatambulishana kwa wazazi pande zote 2 mahali nusu ukatoka ndoa ilikua iwe last year may. A kapata ujauzito kabla ndoa mzazi wa mwanaume mchungaji kagoma kufungisha ndoa mjamzito mpaka ajifungue, kumbe wakati A anachumbiwa kuna mwanamke mwingine anatembea na jamaa badae nae akapata ujauzito wakapishana miez 2 tu na A.
Wameenda A wakakosana na mchumba wake yule mwanamke mwingine kajifungua kwanza kabla ya A, jamaa akarudisha majeshi kwa huyo mwanamke japo hawaishi pamoja lakini ni wapenzi cha ajabu jamaa anamtaka tena A baada ya miez 6 ya kujifungua anamtaka warudiane ila wasifunge ndoa waishi tu kumbe jamaa anakula huku na huku.
Kwani A anaishi mkoa mwingine ajabu juzi huyu mwanamke mwingine kamtafuta A Fb na kumwambia anataka waonane waongee yupo tayari kumwachia mwanaume japo anampendasana ila yupo tayari kumwachia mwanaume na anamsisitiza waonane A anashangaa hamwelewi huyo mwanamke analengo gani? Au kweli akubali kuonana nae.