Mimi nadhani ni haki zaidi kusema binadamu ni viumbe wa ajabu! Hatueleweki...tunasema hili tukimaanisha lile...tunafanya hili wakati tunataka lile, yaani hatuna moja.
Na uthibitisho wa kuwa sisi binadamu hatueleweki ni hizo lawama tutupianazo baina yetu. Tunapenda sana kunyooshea wengine vidole hata kwa yale mapungufu tuliyonayo kwa wingi.
Mimi nishawahi kushuhudia jamaa mmoja hivi kwenye klabu ya pombe za kienyeji akimsema jamaa mwingine kwa ulevi wake wakati yeye mwenyewe kila siku hakosi kunywa dengerua.
Pia nishawahi kumsikia changudoa mmoja akimteta changudoa mwenzake eti ni malaya. Sasa jiulize mwenyewe hapo kama sisi binadamu si viumbe wa ajabu!
Mara nyingi huwa ni "fulani" na sio "wewe".....
Haipiti wiki bila kusikia jinsi wanawake tulivyo viumbe vya ajabu!!Hatueleweki...tunasema hili tukimaanisha lile...tunafanya hili wakati tunataka lile, yani hatuna moja.
Ila ukweli ni kwamba linapokuja swala la mapenzi na mahusiano WANAUME ndio wasioeleweka.Unakuta mtu anakupenda ila matendo yake hayaonyeshi kabisa hayo....hamna kuonyesha kujali wala nini!Na sio kwamba hataki ila hajui jinsi au umuhimu wakufanya hivyo.Hapo hujakutana na asiyekupenda ila mwenye matendo yanayoashiria hivyo.
Kusema ukweli ni rahisi sana kugundua kama mwanamke(wengi sio wote...wengine ni wasanii) anakupenda/kukujali kweli maana ni ngumu kwa mwanamke kuficha/kutokuonyesha hisia zake za ukweli mkiwa tayari kwenye mahusiano!Kwahiyo kina kaka kama unampenda mtu jitahidini kuonyesha kwa uwazi maana ni rahisi sana kuwasoma VISIVYO.....kumbuka IF YOU ARE GOOD TO US, WE WILL BE THE BEST THING THAT EVER HAPPENED TO YOU.:hug:TUNAWAPENDA SANA!!!
Ni kweli sana na nakubaliana na wewe kuwa wanawake wengi wapo very expressive na honesty! ( ofcse sio wote!), big up women out there! we love you!
Asante!!Ila we mchoyoo wa THANKS!!heheh
Asante mpnz...tuko pamoja!mmmhhh asante sana Lizzy..kwa kujitoa mhanga kihasi hiki...
ni kweli niliona poster nyigi sana kuhusu hawa ngugu zetu wa kiume wakitulalamikia sana..
asante kwa kusimama na kutetea wanawake ....
Big Up For Lizzy...
Mmh basi kanunue gazeti la Cosmopolitan toleo la mwezi huu, kuna special article kuhusu tofauti kubwa ya maamuzi iliyopo kati ya wanaume na wanawake.Huhhhhh??Okeyyy!Ila sijaona nimeongea kutokana na experience!!
Haipiti wiki bila kusikia jinsi wanawake tulivyo viumbe vya ajabu!!Hatueleweki...tunasema hili tukimaanisha lile...tunafanya hili wakati tunataka lile, yani hatuna moja.
Ila ukweli ni kwamba linapokuja swala la mapenzi na mahusiano WANAUME ndio wasioeleweka.Unakuta mtu anakupenda ila matendo yake hayaonyeshi kabisa hayo....hamna kuonyesha kujali wala nini!Na sio kwamba hataki ila hajui jinsi au umuhimu wakufanya hivyo.Hapo hujakutana na asiyekupenda ila mwenye matendo yanayoashiria hivyo.
Kusema ukweli ni rahisi sana kugundua kama mwanamke(wengi sio wote...wengine ni wasanii) anakupenda/kukujali kweli maana ni ngumu kwa mwanamke kuficha/kutokuonyesha hisia zake za ukweli mkiwa tayari kwenye mahusiano!Kwahiyo kina kaka kama unampenda mtu jitahidini kuonyesha kwa uwazi maana ni rahisi sana kuwasoma VISIVYO.....kumbuka IF YOU ARE GOOD TO US, WE WILL BE THE BEST THING THAT EVER HAPPENED TO YOU.:hug:TUNAWAPENDA SANA!!!
Haipiti wiki bila kusikia jinsi wanawake tulivyo viumbe vya ajabu!!Hatueleweki...tunasema hili tukimaanisha lile...tunafanya hili wakati tunataka lile, yani hatuna moja.
Ila ukweli ni kwamba linapokuja swala la mapenzi na mahusiano WANAUME ndio wasioeleweka.Unakuta mtu anakupenda ila matendo yake hayaonyeshi kabisa hayo....hamna kuonyesha kujali wala nini!Na sio kwamba hataki ila hajui jinsi au umuhimu wakufanya hivyo.Hapo hujakutana na asiyekupenda ila mwenye matendo yanayoashiria hivyo.
Kusema ukweli ni rahisi sana kugundua kama mwanamke(wengi sio wote...wengine ni wasanii) anakupenda/kukujali kweli maana ni ngumu kwa mwanamke kuficha/kutokuonyesha hisia zake za ukweli mkiwa tayari kwenye mahusiano!Kwahiyo kina kaka kama unampenda mtu jitahidini kuonyesha kwa uwazi maana ni rahisi sana kuwasoma VISIVYO.....kumbuka IF YOU ARE GOOD TO US, WE WILL BE THE BEST THING THAT EVER HAPPENED TO YOU.:hug:TUNAWAPENDA SANA!!!
wanawake wanakwenda na emotions ndo maana ni ngumu kuwaelewa....i mean mwanamke anaweza sema hapendi watu wafupi but akikutana na mtu mfupiatakaemfanya ajisikie special,hisia zinabadilika,na taratibu anaanza kumpenda huyo mfupi..wanaume sio emotional.ni practical zaidi....kwa hiyo ni kweli ignore what a woman say....watch her actions ndo utamuelewa....