kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,851
- 5,620
Bunge hili limepoteza wasifu wake huo ndo ukweli. Lipo Lipo tu. Tumemiss bunge la Enzi za Samweli 6. Mjadala mikali ya kuibana serikali itimize wajibu wake. Je kwa bunge hili tutegemee kujadiliwa kwa ufisadi kama Lugumi, ESCROW, RICHMOND etc? Probably hili ndo litakuwa bunge la ovyo kabisa tangu uhuru.
Wabunge wanafata misimamo ya vyama. Si wapinzani wala chama tawala. Wamegawanyika, serikali inapenya kati yao.
Nani ataliunganisha...
Je, ni naibu spika anayefurahia mgawanyiko?
Je, ni speaker akirejea?
Je, ni wabunge wenyewe au tutegemee hayo mpaka miaka mitano iishe?
Something has to be done kuliunganisha bunge otherwise i would say it is a loss to have them doing what they are doing under the current situation.