Ni nani ni msemaji wa CHADEMA?

Nilipitishwa kwakikao kipi? Mimi ni mwanachama kama wengine tu,
Huwezi kukwepa hili kwani hata matukio kadhaa umetletea laivi,.......pia hata majuzi umetowa ufafanuzi wa yale ulyoyaita ''upotoshaji wa kesi Zitto v CDM'' ni kama ulichukuwa nafasi ya aidha Mwanasheria au Msemaji...!
 
Toa ushahidi kuwa wamekiri kwamba walichukuwa rushwa. Mkono amekanusha, mbowe amekanusha, Lakini zzk amekiri, japo anavunga, na mkono amekiri kuwa amempa zzk magari. Sasa unakoelekea wewe utakuwa chizi muda si mrefu
 
CHAMA kilichopoteza muelekeo kila mtu hujifanya ni msemaji. wapo wengi kama akina Yeriko Nyerere, Ben Saanane, Molemo, John Mrema, Mohamed Mtoi, Tumaini Makene nk

wasemaji wa ccm ndio hawa,chilisosi,msalani,taswira,ze marcopolo na mbulura's wote wa lumumba fc?? teh teh teh teh teh teh
 

wewe kweli kichaa,mambo ya cdm yanakuhusu nini wewe gamba? mwaka huu mtakufa kwa presha sababu ya cdm!
 
Kwa hiyomatamko unayoleta hapa huwa ni kihere here tu

hatuwezi kuuacha uongo na upuuzi dhidi ya cdm ukitamba hapa jf , ni lazima tutakuja kuutolea ufafanuzi , jf siyo kama lumumba ambako ni lazima msubiri mwongozo kutoka kwa SIMIYU YETU .
 
8🙂 mada x
 
Toa ushahidi kuwa wamekiri kwamba walichukuwa rushwa. Mkono amekanusha, mbowe amekanusha, Lakini zzk amekiri, japo anavunga, na mkono amekiri kuwa amempa zzk magari. Sasa unakoelekea wewe utakuwa chizi muda si mrefu
mkuu yaani hata maneno ya mbowe mwenyewe kukiri kuwa alichukua hela unayapinga? kumbuka alisema tatizo sio kuchukua kutoka kwa ccm wala Kikwete bali matumizi yake. siamini kama umejitia ukiziwi kiasi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…