Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,442
Richard Mabala ni mzungu.Nilimsoma sana o-level huyu bwana miaka ile, yuko wapi? Ni mswahili au? n.k..
Dah! umenikumbusha mbali wewe.... hasa na kile kitabu cha Hawa the bus driver...! Form II hapo
Lakini kwann unalia? mi unanitishaUmeonae!! Ilikuwa raha sana, kusoma miaka hiyo kuliko sasa nafikiri. Form one inaitwa form nyoya!! Aha aha aha
Lakini kwann unalia? mi unanitisha
Dah! umenikumbusha mbali wewe.... hasa na kile kitabu cha Hawa the bus driver...! Form II hapo
Ni mwandshi mahiri sana nilizipenda sana simulizi zake.
Habari za kigoma bw J. mabesela, kweli dunia kijiji hatimae nimekupata humu.
Ha ha ha ha ha kgm ni shwar ful migebuka ..nambie afya yaendaje
Maajabu haya!! Na pia mabwaku haya!! Nlikuwa nabashiri tu kumbe ni wewe kweli aha aha aha..nliwahi kusikia ulisumbua sana mtwara na mabesela miaka ile ndo maana nikaisia tu utakuwa mwenyewe.
Karibu JF bhana!!
Teh teh teh teh teh..nshakaribia ndg mambo vya vijiwe vya kielectronic ivi yamebadili maisha kw ujumla wake....hiz taarifa za mabesela ulizinyaka wapi mwana..
Ni story ndeefu kidogo juu ya nlipoling'amua jina la mabesela. usiwe na shaka tutazungumza tukionana mpwa!! Udugu hazina. Kesho nakwenda somewhere hapa town kuna fursa murua saana ya kibiashara nitakushirikisha kwa picha na maelezo.