Hakuwa fisadi. Mramba na Yona wapo ndani sasa kwa kesi za ufisadi lakini Lowasa wala hakupelekwa mahakamani! Hakuhusika na Richmond bali lilikuwa shinikizo toka kwa mamlaka ya juu yake na hangeweza kuikosoa kwa wakati huo! Tumemuelewa na tumeridhika. Sio fisadi!