Ni nani atasimamia vita dhidi ya ufisadi?

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Baada ya Chadema kumchukua muhusika mkuu na kuamua kumpa Ukuu katika chama tunapoelekea oktoba.

Ni nani atajayeaminika kupewa bendera hii muhimu ya kupambana na ufisadi?

Wazalendo tuleteeni alternative!
 
Bao la mkono mwisho bafuni by nepi
 
Hakuwa fisadi. Mramba na Yona wapo ndani sasa kwa kesi za ufisadi lakini Lowasa wala hakupelekwa mahakamani! Hakuhusika na Richmond bali lilikuwa shinikizo toka kwa mamlaka ya juu yake na hangeweza kuikosoa kwa wakati huo! Tumemuelewa na tumeridhika. Sio fisadi!
 
Back
Top Bottom