Maana hawa viumbe sio mchezo muda wowote na saa yeyote wanaweza kuchange,
Ukimtendea wema kwa kudhani atatulia ndio kwanza atakuletea mapicha picha,
Ukimtendea vitu vya kumkela na visivyofaa ndio unaweza kushangaa akatulia na kukung'ang'ania,
Wanataka nini hawa viumbe maana kuna kipindi unaweza kumnunulia ndinga kali ili atulie cha kushangaza ataenda kugawa penzi kwa fundi garage kisa kambadilishia oil filter.
Nani anawaamini hawa?
View attachment 1103703
Cc Zero IQ
Wanawake ni wazuri sana lkn hamjui kuishi nao ukiwajulia utapata raha sanaMaana hawa viumbe sio mchezo muda wowote na saa yeyote wanaweza kuchange,
Ukimtendea wema kwa kudhani atatulia ndio kwanza atakuletea mapicha picha,
Ukimtendea vitu vya kumkela na visivyofaa ndio unaweza kushangaa akatulia na kukung'ang'ania,
Wanataka nini hawa viumbe maana kuna kipindi unaweza kumnunulia ndinga kali ili atulie cha kushangaza ataenda kugawa penzi kwa fundi garage kisa kambadilishia oil filter.
Nani anawaamini hawa?
View attachment 1103703
Cc Zero IQ
[emoji3][emoji3]Hapana mi bado sina huo uwezo wa kununua ata ndinga yangu, mkuu uwezo wangu ni wa kununua chipsi mayai tena wakati mwingine ya mkopo,
Hapa nimesema tu kwa mfano.