Ni nani ampaye Slaa 'Mabomu'?

Kwaninini unafikiria kwamba kuna watu wanampa hayo mabomu? kwani yeye hayaoni kwa macho yake wakati yumo humohumo kwenye system anauona uovu wote unaotendeka? hata hao wengine wote wanajua each and every thing . sema tu Dr. slaa MUNGU kampa ujasiri ambao wengine hawakupewa na hata kama wapo waliopewa lakini wanashndwa kuutumia!! Dr. goooo goooo!! Tunakuombea hawakuwezi MH.
 

Nafikiri cha msingi ni kulitambua bomu au kuliweka katika hali ya mlipuko mkumbwa, sasa wewe kama unayajua mabomu kwa nini usiyalipue? Dr. Slaa ana uthubutu, hivyo akiwa rais atasawazisha - land mines zote zitakwisha!!
 
Tukiwajua wanaompa nondo ili iweje...huoni watu wana weza kosa ajira zao au kuuwawa unafikilia hawa mafisadi yanapendwa kufatwa fatwa kumbuka ya kubenea.....

Kubenea alifanywa nini?
Tusidanganyane hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…