GreatSeal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,785
- 3,094
Wana JF,
Mimi naomba mwenye ufahamu tu,
Mara nyingi nimesikia mambo mengi makubwa kama vile University Of Dar es Salaam kwamba kilikua designed by Israel utasikia chuo hospitali fulani imejengwa na watu fulani ama chuo kama nilivyosema awali, sasa mwenye kufahamu anijuze Ikulu yetu imejengwa na sisi watanzania wenyewe ama ni nani waliijenga?