Ni mzuri nashindwa kumuacha na hajui kuwa nimeoa, nifanyeje?

Ninachokiamini mimi ni kwamba ukishafanya uamuzi wa kuoa....hakuna mwanamke mwingine zaidi ya huyo uliyemwamini na kumweka ndani (mkeo)...hizo nyingine zote ni tamaa za mwili tuu.. Ila nafasi ya mke wako iache pale pale na usimlinganishe na wanawake wengine kwa namna yoyote ile. Play smart boy!

Doo
 
UKITAKA KUJUA THAMANI YA MKEO UGUA UGONJWA WA MUDA MREFU. NDUGU WATAKUWA WANACHUNGULIA TU! LAKINI MKE UTAKUWA NAYE HADI UPINE AU UFE. EPUKA KUHARIBU MAISHA KWA TAMAA ZA UJANA TENA UMEZAA NA KUZAA HUYO ATAKUWA MKEO SIKU ZOTE, USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO WAZURI NI WENGI NA BADO UTAONA WENGI KATIKA MAISHA YAKO. NINA UMRI WA MIAKA 47 BADO NIKIONA WANAWAKE NATAMANI ILA MKE NINAYE. SO KIJANA ANGALIA SANAA!!
 
Amini kuwa muda ulioupoteza kuwa na huyo binti ungekuwa umetulia na mkeo Ungekuwa mbali zaidi na mambo mengi umepoteza bila kujua,wengi huzani kuwa wanawapotezea muda mabinti kumbe hata wao pia hujifunga kimawazo na kifikra na kufeli kimaisha
 
The Guy who break virginity and separate with the girl is just like a BARMAN they open the beers for others to enjoy.Weather they go around claiming that they are the ones who opened the beers,it won't change the taste of the beer.The one who drinks is the one who gets drunk.
 
Habari za weekend wana MMU. Natumai uko salama.

Mimi ni kijana mjasiriamali, nafanya shughuli zangu binafsi. Katika pitapita zangu mnamo 27/2/2016 nilianza mahusiano na binti mmoja ambae kwa hakika Mimi ndie mwanaume wake wa kwanza (yaani alikuwa bikra). Mahusiano yetu yalienda vizuri sana na alifurahia mapenzi kwa kuwa ndio alikuwa anaanza na kama mnavyojua sisi wanaume tunapopata mali mpya, makeke kibao....

Basi kwa kipindi chote hakuwahi kufahamu kuwa mimi Nina mke. Ofcourse nilimficha coz nilihisi asingekubali kuwa na mimi na binti ni mzuri sana kushinda mke wangu.

Sasa tatizo linapokuja binti kashanitambulisha kwao kuwa Mimi ndio mumewe na matarajio yake nimwoe afu mimi Nina mke na mtoto na mke wangu ni mjamzito na binti hajui chochote mpaka sasa.

Najaribu kumwacha lakini tamaa ya uzuri wake nashindwa ukiangalia me ndo mwanaume nilie mwingiza ktk Ulimwengu wa mapenzi basi nabaki kudata.

Nisaidieni ushauri wandugu..
wwe.chenga kamzidi mke wako kwa uzuri?dah ngongo ngono Leo mke Mbaya sna kisura au tabia mkuu?
 
Ndugu umekanyaga siko! Damu ya bikra kali!!! Chochote utakachofanya ombea asikulaani.
Unamtoboa dada wa watu akati una mke!!! Ukute alikubali masikini akijua kajiopolea mume kumbe walewale wapoteza mda. Si ungechezea walio used..!
luck never come.twice mkuu
 
Mtu aliye na akili timamu hawez shindwa kufanya maamuz ktk masuala madg km hayo, nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikir
 
ushauri gani unataka hapa mkuu saidjamali? km wewe ni muislamu kwa kutizama jina si umuoe km mke wa pili?au km mkristo na umefunga ndoa amua tu kubaki njia kuu,all in all pima kati ya ndoa yako na huo mchepuko wako kipi ni muhimu kwenye maisha yako?ukishajua amua mwenyewe kimya kimya manake ata tukikushauri hivi hatuna uhakika km utatenda sawa sawa na ushauri wetu.
 
Safi mkuu nimekupata
 
wwe.chenga kamzidi mke wako kwa uzuri?dah ngongo ngono Leo mke Mbaya sna kisura au tabia mkuu?
Swali zuri mkuu unajua sisi wanaume tumeumbwa na tamaa hata nilipochukua uamuzi wa kuoa mke wangu nilimwona mzuri kupita kiasi na kama unavyojua watoto wazuri kila siku wanazidi so kwa mtoto yule daaah mke kafunikwa kwa uzuri
 
Pole kwa huyo mrembo aliyekua bikra aisee,, mtengenezee mpango wa kuachana bila beef. Pretend uko busy, safari za mikoani nyingi huku ukipunguza mawasiliano ya sim, sms, whatsap nk. Atajua tu kwamba huu ushusiano umefika rock bottom, ni bora hivi kuliko yeye kujua kwamba alikua na tapeli wa mapenzi.
 
M
Habari za weekend wana MMU. Natumai uko salama.

Mimi ni kijana mjasiriamali, nafanya shughuli zangu binafsi. Katika pitapita zangu mnamo 27/2/2016 nilianza mahusiano na binti mmoja ambae kwa hakika Mimi ndie mwanaume wake wa kwanza (yaani alikuwa bikra). Mahusiano yetu yalienda vizuri sana na alifurahia mapenzi kwa kuwa ndio alikuwa anaanza na kama mnavyojua sisi wanaume tunapopata mali mpya, makeke kibao....

Basi kwa kipindi chote hakuwahi kufahamu kuwa mimi Nina mke. Ofcourse nilimficha coz nilihisi asingekubali kuwa na mimi na binti ni mzuri sana kushinda mke wangu.

Sasa tatizo linapokuja binti kashanitambulisha kwao kuwa Mimi ndio mumewe na matarajio yake nimwoe afu mimi Nina mke na mtoto na mke wangu ni mjamzito na binti hajui chochote mpaka sasa.

Najaribu kumwacha lakini tamaa ya uzuri wake nashindwa ukiangalia me ndo mwanaume nilie mwingiza ktk Ulimwengu wa mapenzi basi nabaki kudata.

Nisaidieni ushauri wandugu..

Masikini binti wa watu!! Mmmhh pole binti wa watu huko uliko!:(
 
Back
Top Bottom