Nina dem wangu (shori) ambae yuko mbali nami kijiografia na mahusiano yetu yanaendeshwa sana kwa sim, sasa inafikia kipindi inapita siku bila kunipigia wala sms, nikimuuliza kwanini hajapiga anadai ni mishemishe 2 za hom zimemuweka bize, na mimi siku nikiamua kuuchuna ili nione inakuaje au atajisikiaje, anamaind kinoma..... so huku kutegeana kupiga sim ni kuzoeana, kawaida tu au kuna mengine kati yetu?
huyo demu inaonekana we unampenda kuliko anavyokupenda na ndo maana hakupigii sim mpaka umpigie demu akipenda utamchoka kwa kupigia sim na kukutumia sms nakushauri achana nae kwa sababu kuna mtu anaempigia na kumtumia sms na ndo maana anakosa muda wa kuchat na wewe kama unabisha fanya upelelezi utapata ukweli yameshanitokea na ndo maana nakushauri achana nae.
jamani tuangalie pande zote
huyu kaka amempa vocha , kwa sababu twa weza sema sana kumbe "demu"ni dent na hana kipato iyo pesa ya vocha ataitoa wapi na yeye hamtumii
by the way muwezeshe kukupigia simu hata kama anakazi ila mpe vocha mwe eeee vidume vya sikuhizi mnapenda kujaliwa ila nyie kutoa shughuli.
ushauri piga simu bilakulalama
Inawezekana yeye alikupigia,ukawa mkimya kwa mda kwa hasira zako halafu baadaye ukaanza kumpigia na yeye ikafika mda wake kuuchunaMmhh wanaume sometimes mnasababisha mtu hasikutafute kwenye simu,kwa mfano mimi bf wangu tumechuniana siku ya tatu sasa na me ndio nilikua mtu wa mwisho kumpigia lakini hakupokea na amekuta mis call wala hakujali kuludisha sasa mtu kama huyo kwa nini umtafute,husipomtafuta anachukia ukimtafuta ndio hivyo analeta poze
Hiyo kweli,ebu ajaribu kubadili namba kama atamtafutame navyojua, mwanamke akikupenda utachoka hizo simu na sms zake, huyo manzi ako anakuchukulia for granted sema anashtuka kuwa atakupoteza ndio maana anahoji why hupigi. Hataki kukupoteza kwa sababu u always hapo. Ila huyo demu anampenda mtu mwingine afu huyo mwengine nae anaonekana hapendeki
Nina dem wangu (shori) ambae yuko mbali nami kijiografia na mahusiano yetu yanaendeshwa sana kwa sim, sasa inafikia kipindi inapita siku bila kunipigia wala sms, nikimuuliza kwanini hajapiga anadai ni mishemishe 2 za hom zimemuweka bize, na mimi siku nikiamua kuuchuna ili nione inakuaje au atajisikiaje, anamaind kinoma..... so huku kutegeana kupiga sim ni kuzoeana, kawaida tu au kuna mengine kati yetu?
Mkuu kweli,demu akikupenda mbona kila saa atakuwa hewani tu,lazima akutafute halafu hata usipopiga hana tatizo ye anaona kama wajibu wakehuyo demu inaonekana we unampenda kuliko anavyokupenda na ndo maana hakupigii sim mpaka umpigie demu akipenda utamchoka kwa kupigia sim na kukutumia sms nakushauri achana nae kwa sababu kuna mtu anaempigia na kumtumia sms na ndo maana anakosa muda wa kuchat na wewe kama unabisha fanya upelelezi utapata ukweli yameshanitokea na ndo maana nakushauri achana nae.
Potezea tu