samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,237
We unakutana na mdada anajitupa puuu anasubiri jamaa amwambie fanya hivi au vile.jitahidi kumchangamkia ohoo akimpata wa kumwandaa utalia.
Inabidi kuandaana wote wawili!
We unakutana na mdada anajitupa puuu anasubiri jamaa amwambie fanya hivi au vile.jitahidi kumchangamkia ohoo akimpata wa kumwandaa utalia.
hivi eeenh... wanaume na sisi tunaitaji kuandaliwa!??
wengine tukiona paja tu ni maandalizi tosha, temp inapanda mpaka kitonga
We unakutana na mdada anajitupa puuu anasubiri jamaa amwambie fanya hivi au vile.jitahidi kumchangamkia ohoo akimpata wa kumwandaa utalia.
Ili kuokoa muda inabidi kila mtu ajiandae kivyake na kwa wakati wake..na wakutane eneo la tukio kwa ajli ya tukio....