albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 2,000
- 3,395
Alipewa safari kwenda waja leo kwa makusudi kabisaaa tai wakasema huyu hafai tumalizane nae akiwa huko mliowategemea MO29 wakatumia kitabu kumhalalisha na baada ya kuhalilishwa akala kichwa cha tai mkubwa baada ya kuambiwa yeye ndie alitaka asihalalishwe.... KIKO WAPI
Wananchi wakashangilia.... kilichofanywa na waliotegemewa kwenye MO29 kikaonekana cha kishujaa wakidai tai wote walikosea kuona mbali... Tai wakapuuzwa na wao wakakubali mana hawana pa kusemea MO29 wakasifiwa sanaa wakaonekana watunza kitabu.
Kiko wapi leo... TAI WALIONA HILI WAKATAKA KUFANYA YAO ILI WAUE NDEGE WAWILI KWA JIWE MOJA MIAKA 4 LEO JAHAZI LINAMATOBO
TULIWAPUUZA NA TULISAHAU AKIHALALISHWA TAI WANAJUKUMU LA KULINDA IMA MZURI AU MBAYA. WANATIMIZA JUKUMU LAO SASA. MLIOWATEGEMEA KWENYE MO29 NDIO WALIOMUWEKA MNATAKA NINI??
Story ya kusadikika hiii haina uhalisia na haihusiani na yeyote na chochote na majina yalitumika yabaki katika uhalisia wake. TAFSIRI YA ZIADA HAIHUSINI NA HABARI HII.