Ni muda sasa wa kubadilisha jina la timu ya Taifa na kuipa nembo

Tujiite MBWA MWITU au THE WILD DOGS...
Hawa mbwa wakiwa wengi wanakukula kabla hujafa....sio simba wala nani, wakikulalia vizuri una wakati mgumu sema timu yetu mdbwedo, urojo litatufaa pia
aidha tunyang'anye lile jina hao watoto wetu hawalitendei haki, la Serengeti Stars, au kilimanjaro stars, au Ngorongoro Stars. kwisha. kama facebook wanabadilisha majina, sisi ambao hata hatujulikani na dunia yote tunaogopa nini.
 
Mimi niliacha kumjibu nikaona nahangaika na mjinga tu. Bora umesaidia kujibu mkuu..Taifa Stars mpaka akina Mecky Sadick nao viongozi

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Mpira sio siasa man ata ukiitwa HANGAYA stars bila kuwekeza kwenye mpira hakuna miujiza yoyote
 
Tuna tatizo kubwa kuliko hata hilo jina Mkuu, hata tujeite tembo bado tutabakia na hali yetu
 
Huyu anadai wakibadilisha jina huenda kukawa na mafanikio.....naamini jina halileti matokeo,nakubaliana na wewe hapo katika kuitangaza nchi kwa vivutio vyake.
 
Tatizo ni pale tulipokataa jina tulilobatizwa na mzee ruksa

Mi naona lingetufaa sana

Taifa stars a.k.a kichwa cha mwendawazimu tungefika mbali kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…